正在加载视频...

视频加载失败

48,311 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Mushubiro Solomon 的头像
Mushubiro Solomon3 年前

KP lile gari la umeme lipo wapi?

Masoud Kipanya 的头像
Masoud Kipanya3 年前

Unataka tuwe tunaweka video za kila hatua ya gari hapa mtandaoni? Tutafika? Au nisifanye project nyingine yoyote? Vuta subra kwa sababu subira ni ibada.

Mchafukoge2022 的头像
Mchafukoge20223 年前

Msimu flani mlipataga fuvu…kweny Kijiji cha Maisha Plus ile hamkuwahi kujua baada ya pale ilikuwaje. Natamani cku nifanye doc n washiriki kadhaa waeleze experience zao kabla na baada Ya maisha plus. Bro tujivunie sana kuwa n ww una uthubutu ukifika wakati wa mgombe binafs chukua

Babu Swai 的头像
Babu Swai3 年前

Nimefurahi. Mimi niko Tayari kwa kuwa mfatiliaji wa vipindi kupitia Tv. Nnachokuomba,tumia Tv,zinazoonekana na kupatikana bure hapa Tz. Lengo lako ni Wananchi tujifunze. Nami nakuombea mafanikio.

Picha & Mapambo 的头像
Picha & Mapambo3 年前

Kama utapewa ofa utachukua picha ngapi.? Basi tutumie picha yako tukutengenezee kimkakati bei ya leo Tsh 10,000/= Size A4 +255 715 690 082 Shop now

Strawberry🍓 的头像
Strawberry🍓3 年前

I have been waiting this for a long time...,📌

Alexander Philip 的头像
Alexander Philip3 年前

Hii ukiirudisha uweke kwenye channel ambazo kila mtu atakuwa anaona kwenye kisimbuzi chake kama ulivyokuwa zamani

Uncle _ T 的头像
Uncle _ T3 年前

Hapa kaka utakuwa umefanya jambo la maana

Masanja PN🌻 的头像
Masanja PN🌻3 年前

Siku nyingi sana

Coincidence 的头像
Coincidence3 年前

Unyama sana huu 🙌🏾

相关视频