Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Uku mjengo sitoboi😆🤣
111,373 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Hii inaitwa ujinga. Show off alafu mtu anaumia wit spine or back injury anateseka maisha yake yote. Tumia akili. Dont work fast, work safely in such an environment.

hii formula yake ni same na bales za unga na bags za sukari...bora unatumia hio momentum imekuja nayo ku turn utakua tu sawa then make sure haijaguza chest.

Hii inahitaji watu hulewa kwanza kabla waanze kazi.

alafu somebody's daughter anakuja kuzusha hujambuyia flowers

Buddha kama hii ndo njia walahi nalala njaa

🤣🤣🤣si kurahisi

Wacha niendelee kufinya kompyuta tu😂😂😂😂

Ndiyo maanake vijana wa kufinya kompyuta wanajinyonga landlord akifunga nyumba....hutoboi 😂

unafanya kazi kama hii siku mzima alafu dem anakuambia usimwage ndani..haha

mimi ukinirushia hivo naanguka nayo
