正在加载视频...
视频加载失败
Umejifunza nini hapa ?
73,536 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Presenter Noah1 年前
Video @rabihume

anjeluus mathey1 年前
Uliwahi Kuwa na Mtu Ambae Mpo Sehem Moja Kila Mtu Ana Habari na Mwenzie? Ikitokea Mmekutana Ughaibuni Nyote Hamna Ndugu Basi mara Nyingi Mnakuwa Ndugu tena wa Kushibana Sana.. Hii nimejifunza Mara chungu Mzima🤔

New Mzalendo1 年前
Kuna umuhimu sana wa kuishi na watu vizuri.

Fideli𝕏1 年前
Nmejifunza kingereza chako kizuri

Presenter Noah1 年前
😂😂

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿1 年前
Mpira sio UADUI…

Presenter Noah1 年前
Nimekuchek green app

WeGoodStore 🌵1 年前
Tanzania tunaupendo sana

MiriamMkanza_PhD1 年前
Sitosahau siku mayele alipotangazwa kuwa mchezaji wa pyramid, nilifurahi mno, jamaa alijua kututesa wanasimba

Millimeter ®1 年前
Jamaa anatamani siku moja achezee timu kubwa kama Simba😂😂😂
