Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Umejifunza nini?
252,180 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Ingekuwa bongo wazazi wengi wangechemka, labda waje ma-house girl

Unakuta mtoto ana miguu kama ya Sativa hata kama ni mimi siwezi kosea

Huyo mzee katega Wanawake wote wamechukua wanao na yeye ndio kamchukua mwanae

Baba yangu angeokota mwingine😂

Mimi ningesubiri wote wavute atakaebaki ndo wangu siwez itesa akili😁😁

🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:

Wakina mama wanawajua vizuri watoto wao 😆

Kama huogeshi mwanao lazima uchemke

Bongo housegirl ndo angemtambua mtoto na sio mzazi wake🤣

Hii wababa wa Kenya tukiambiwa we bring babies that we identified that way home, hakuna boma inalala na mtoto wao except yangu

Hhahahaha aiseee imejifunza kitu kikubwa sana
