10 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Hananja, Kawasema watumishi wa mungu wanaowalazimisha watu kutoa sadaka.. Huku wakiwalazimisha kuwa usipotoa utaenda Motoni😂😂 Maikilize hapa... Video kwa Comments 👇
613 likes

@EpaMush
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Ila huyu mpare nainua mikono 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 hajui kulemba picha kila ki2 kwenye mstari
4 likes

@RahimYusuph8
True say ndugu zangu wakristo mzee mumuombee aishi miaka mingi huyu ni nabii wa ukweli
2 likes

@DicksoniJ57776
Dingi kiboko💪🏽
1 like

@SolarHeavy
take the journey
6,898 likes

@Hoodlum78
😅😁😅😅💔
1 like

@EliasKadelema
"Utaacha kuumwa tumbo kweli" 😂😂
1 like

@MBOKA255
Mungu ambariki
1 like

@mbnkiligi
😄😄😄😂

@winisia2556
Kutwa chipsi kavu utaacha kuumwa tumbo