Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Unamkumbuka huyu๐๐๐๐๐๐ Dj nani
10 Kommentare

jn_phone_spare๐ฑvor 1 Jahr
nimeangalia movie nyingi sana za huyu lakin Leo ndio namjuaa๐

Juliana(PHD)vor 1 Jahr
Maraa aiii akagosa saidogi jamaa akatoka wazimu!

๐ฌ๐๐๐๐พ๐๐๐๐๐๐vor 1 Jahr
Huyu sio Dj Afroo ni Junior wa Kameme Tv, sema jamaa anapita mulemule. Afroo hana kitambi.

Maestrovor 1 Jahr
Uyu mjinga alifanya nikawa naiba hela sana nyumbani za kwenda bandani na ku skip church ๐คฃ๐

Ms Bee๐นvor 1 Jahr
๐๐๐๐

Oldugoreti lee kokovor 1 Jahr
Dj Afro amigos kipindi hiyo anatupanga

Ms Bee๐นvor 1 Jahr
@Officialekl ๐๐๐

dE kInGvor 1 Jahr
@HamisiS44566

Chuga Online shopvor 1 Jahr
Huyu sio yeye ๐คฃ๐คฃ

Harakativor 1 Jahr
Mamae kumbe ndo huyu aliekuwa akiniponza nisiende tuition ๐คช
