Mshua wake nani huyu 😂😂😂😂
@mswahili___134 тыс. подписчиков
75 366 просмотров
10 комментариев
Комментарии из оригинального поста в X (Twitter)

@BKisbo80187
Hapo n kwenda2 kuongea na kuku vzur icho kiswahili🤣🤣🤣
5 отметок «Нравится»

@GudgudCriwa
@john__himself Si hapo Nyumbani kwetu Baba!? 😭😭😭🤣🤣🤣
4 отметки «Нравится»

@Wakusoma223
😂😂mshua mnyama sana
3 отметки «Нравится»

@AdamGol75015062
Anataka amtibu mdomo babaake.. baba kumbe ni daktar bingwa
2 отметки «Нравится»

@NyandaBukombe15
Sina mwanasheria ningemtag😂😂
2 отметки «Нравится»

@Januarysampo07
Nikimtaja dula 😂 ila sina sheria
2 отметки «Нравится»

@AlexSamoja
Baba ndo ahame, hapo ni kwangu yeye aende kwa wazazi wake 😂😂. Baba akikaza kukufukuza home, mfungulie kesi kwa nini alikuzaa bila ridhaa yako ✍️
2 отметки «Нравится»

@kin_donn
Dingi kauzu 😂😀
1 отметка «Нравится»

@GuzmnChapo1
😂😂
1 отметка «Нравится»

@mozu245
Et kazi njema wewe apo😂😂😂😂
1 отметка «Нравится»
