Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Unasimama Na Pastor Au Rasta? FATHER & SON TALKING๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ

252,682 Aufrufe โ€ข vor 3 Jahren โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von M.D (๐Ÿ…จ)
M.D (๐Ÿ…จ)vor 3 Jahren

They all have facts. Mshkaji ana facts na naweza kumuelewa kuwa he went to school so that he can work (To be busy for something) and not to get work (Kuajiriwa). Pastor nae ushauri wake ni mzuri japo yeye ameongelea kwa nadharia zaidi. Kwa kifupi kijana amemzidi Mzee kwa facts

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

take the journey

Profilbild von (---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushivor 3 Jahren

Pastor amepigwa KO ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, amejitahidi kutumia power kuimpose anachokiwaza lakini dogo amepangua Kwa hoja! Nimempenda bure dogo. Anayoyaongea pastor ya kawaida, aliyoyaongea dogo ni uhalisia wa mambo kwa ground. Nadhani alitaka kumwambia pastor, shida sio nywele!

Profilbild von G Master
G Mastervor 3 Jahren

Mungu anajua nafsi zetu zinapita kwenye uchungu na mateso kiasi gani pastor ameshindwa kumuelewa Rasta. Rasta anaongeo vitu very sensitive lakin ni mbaka uwe umeelewa hiyo Hali au umewahi kupitia jamii inawachukulia watu wengi negative lkn binafsi nimemuelewa sana Rasta anajua .

Profilbild von KatiKomile
KatiKomilevor 3 Jahren

Dogo kamchana pasta mbaya. "Naangalia kunyoa moyoni siyo kichwani, nipe kazi uone kama nywele zitaathiri ufanisi kazini". Niliwahi kuwekewa zengwe la hivyo, nikamomaa....nilipoingia kwa job, niliwakalisha wengi hadi nikawa kiongozi wao. Respect RASTA. Nasimama na RASTA.

Profilbild von IBRAHIM โ™คโ˜†โ™ง
IBRAHIM โ™คโ˜†โ™งvor 3 Jahren

Nilichoelewa mantiki ya rasta kukaa na nywele ...haimanishi hataki kazi ..ila akipata atanyoa ..na kukaa na kipara haimanishi atapata kazi

Profilbild von 200 ok
200 okvor 3 Jahren

Hapo issue ni Ego, its consumming young man . Brother hakuna boss anaetaka kua na mtu mjuaji .Janja hana listening skills and he is too emotional, life sucks every body know. Pia ajue kua hapo anaonekana na watu wengi so his ego will cost him in the near future cz waajiri wanaona

Profilbild von super Jose
super Josevor 3 Jahren

Mwamba Ana machungu sana moyoni, I do understand him, mtu akitoboa anamwonaga kila aliye chini yake ni mzembe, but mwamba amesema ashafanya interview kibao bila bila, ashanyoa na kuwa mwema ila bila bila, kwangu ngoma inalala kati, sare

Profilbild von mohd
mohdvor 3 Jahren

Pastor alikuwa analazimisha aeleweke yeye tuu ila hakua na solid point

Profilbild von Dingii
Dingiivor 3 Jahren

Level ya confidence alioko nayo jamaa ndio kiwango hasa waajiri wengi wanataka pia. Waafrika tunapumbazwa na viongozi wa dini tukubali tukatae. Mchungaji kaacha kuhubiri anakomalia nywele za mshkaji kwanini? Kila mtu ana interest zake.kapelekewa sadaka af mjuaji

Profilbild von GWANTA๐Ÿฆ
GWANTA๐Ÿฆvor 3 Jahren

Some one said โ€œโ€degree bila yesu ni bureโ€โ€ โ€œ๐Ÿ˜”โ€

ร„hnliche Videos

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ

Tack shooter

283,051 Aufrufe โ€ข vor 2 Jahren