Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
UNLESS IT IS AGENDA MUST AGEND… PLEASE STOP THIS HYPOCRISY & SELECTIVE AMNESIA AFCON 2024 Nigeria 1-0 South Africa. Mchezaji wa SA alipigwa kiatu kwenye box, na that initiated a build up of a Victor Osimhen goal for Nigeria to make it 2-0 Ila VAR Iika review, na kufuta... show more
17,419 Aufrufe • vor 3 Monaten •via X (Twitter)
17 Kommentare

Vijana wa Penduuu wanajiliwaza tu mzee, waonee huruma😎.

Maneno kibao sheria ni Moja tu kwa VAR sasahivi, referee has to let the movement to end, then VAR will entervene when necessary. That's why the Egypt disallowed goal referee didn't blow the whistle, same as the Argentine 3rd goal build up, and it was not a pen by the way.

Kabla ya kwenda Kwa mwamuzi inatakiwa timu zetu zijitathmini Kwanza maana haiwezekani ndani ya dakika 13 tunaruhusu goli 3 halafu sabbu tunampelekea referee, Inawezekana kweli kulikuwa na mapungufu lakini mzigo mkubwa upo kwenye timu zetu kwanza

Mimi Ni shabiki wa Ronaldo nilitamani Sana kuona Messi nae akitoka. Lakini tujiulize Kocha ndani ya dakika 70 wa misiri alipaswa kufanya nini? Alivyoona timu inapumuliwa alipaswa kuondoa watu kama Mo salaa weka wakabaji katikati akanogewa akaingiza striker. Timu zetu ni choko san

Mkuu foul ingekuwa ya shoulder-shoulder hapo unaweza define may be ni soft as long ni meno ya kiatu yamepanda juu ya mguu there is no soft foul pale

acha ni repost tu sina cha maelezo mapya

Did you miss this ?

✍🏽

Nakumbuka mechi robo fainali Champions Leagu 2017 kati ya Bayern Munich na Real Madrid pale Bernabeu maamuzi mengi ya hovyo sana yalifanywa na waamuzi kuibeba Madrid lakini mashabiki wa CR7 walisingizia tuna wivu tu na kipenzi chao. Leo wana povu sana🤣🤣🤣🤣

Ko afcon ni world cup viko Sawa hiyo si kama Fifa Euro na Copa America bro

Hata Salah amefanyiwa km ulivyoeleza kwenye penalty box na build up ikapelekea goli la tatu la Argentina.. Tuchambulie na hilo mkuu kama itakupendeza...

Penalty ya Salah hawakureview mzee wote tumeangalia bhna

binafsi sijaelewa your point blaza!

Sorry. Not slightly soft. It was a stamp

Tatizo lenu nyie mnazani tunaosema jamaa wanambeba, hatumpendi jamaa au ni mashabiki wa CR. Tunaosema jamaa wanambeba tunazungumzia kama mechi Ile ya Qatar 2022 vs Netherlands robo fainali Vs Poland Vs France Ile penati ya di maria Alafu 2026 Vs Austria Vs Algeria

@INFLUENCERjr wanajisahau sana

Tatizo kweye foul ya Matinez tumeangalia tu kukanyagwa ila pale kulikuwa na kuvutwa flana kwa nyuma pia , yote yalifanyika Simultaneously
