ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
UNYAKYUSA ๐๐๐ฟ Kabila linashida hili.๐๐
133,996 ๆฌก่ง็ โข 1 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
11 ๆก่ฏ่ฎบ

Hii video sipendagi kabisa kuiona inanipaga sana trauma!! Hii siku ndiyo siku nilicancell ticket ya kurudi ๐น๐ฟ na ndiyo ikawa moja kwa moja mpaka leo 5yrs.

Ukitaka Uharibu Mtoto, Mnyakyusa Uzae Na Mhaya Hii Mbegu Itakuwa Zaidi Ya Mwakyembe๐

๐๐๐๐๐ฟ๐๐ฟ

Kachanganya na uhaya huyo wanyakyusa hawapo hivyo nawajua๐

hv hapa alimpiga mkwara Roma vile af anakuja kujua mwenzake hakupitia certificate alifauru tena kombi za science๐๐๐

mzaa ana dharau sana huyu anyway proud to be nyakyusa

๐๐๐huwezi kunionya nisiweke mikeka ya @sativa

Haahaa haaa Kyembe ummanyisi gwa fyuo mbalimbali.

Hasa wa Kyela

Watu wake wapo masaa๐๐

Maileji sana๐๐๐ฟ
