Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

192,966 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Donald Maziku profil fotoğrafı
Donald Maziku1 yıl önce

Tanzania bado kuna maeneo ukitumia kiswahili hawezi kueleweka, je atumie lugha ipi? mlipaswa kutoa fasili ya maneno anayozungumza sio kupotosha! Tunahitaji taifa lenye haki na usawa kwa njia ya katiba na sheria zetu.

Husnaiya profil fotoğrafı
Husnaiya1 yıl önce

Mungu amlaze mahali pema peponi baba wa taifa alikuwa anaona mbali

Donald Maziku profil fotoğrafı
Donald Maziku1 yıl önce

Magogoni sasa mmefeli, lugha ni njia ya kuwasiliana katika jamii, kufafanua jambo kwa lugha zetu za asili sio ukabila. Pia kufafanua jambo kwa kunakili msaafu wa dini yeyote sio udini. Acheni kupitosha jamii.

mgambo wa kagera profil fotoğrafı
mgambo wa kagera1 yıl önce

Ccm ndio inayoleta viongozi wenye ubaguzi chuki na kujali maslahi yao kwanza wananchi wamefanywa mataira ikifika uchaguz wanaonga vitenge pombe za kienyej kahawa nguo za ibda ili kuwateka wananchi 😂

mgambo wa kagera profil fotoğrafı
mgambo wa kagera1 yıl önce

Mbona magufuli alikuwa anaongea kisukuma

Camel profil fotoğrafı
Camel1 yıl önce

Mungu anahusikaje hapa ujinga mnaoupanda kwa kiburi na mamlaka uwatafune tuu.Mwacheni Mungu akupumzike ana kazi za kufanya za muhimu

Miss Rose 🌹👑 profil fotoğrafı
Miss Rose 🌹👑1 yıl önce

Naam

jose junior profil fotoğrafı
jose junior1 yıl önce

Kabisa kabisa maana skuizi Mtu Yuko tayari atoe million 250 kanisani ila kusaidia kaya maskini anaona changamoto😢..

mageuzi profil fotoğrafı
mageuzi1 yıl önce

Acha ujinga, wanyanturu ni wangapi kwa hapa tz.mbona hujaweka ya magufuli akiongea na wasukuma?na ni wengi kuliko hao wakina tundu Ulitakiwa utafsiri ilichokisema kwa kiswahili ndio ueleweke kwenye hoja yako.

Bin Kombo profil fotoğrafı
Bin Kombo1 yıl önce

Democracy ni mavi kweli Lol

Benzer Videolar