Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Usile balanced diet, kula vyakula halisi.
29,733 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Sema kwaleo mi nina maswali mawil @MfalmewaX1 la kwanza kuna siku Ista uliuliza unga wa mhogo vitu una faida gan au ugar wa unga wa mhogo ni sahihi, swali la pili leo kwa shishi alikuuliz kuhusu ugari na mlenda ukamuruhusu hii inakaaje sijaelewa.

Hapo hakuna tofauti aliyekulamara3

Ni sawa kula Raw Eggs? En kipi bora raw eggs na yalio chemshwa or kaaangwa?

Struggling with weight loss? Science-backed Semaglutide & Tirzepatide make it easy. Affordable, effective, and delivered to your door. Start your journey today!

Mayai matano😂😂😂

Eti mfalme😄😄

Mayai ma5, viazi vi3. Na hakuna maji wala chai! Dah! Ati kuna chumvi… utapaliwa kooni dadaaadeki!

Fitness trainer wa mchongo

Mayai yenyewe ni kisasa hayo, af unasema chakula halisi

Hiki ndio chakula halisi?
