Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
USIPOELEWA NA HAPA BASI TENA!!
Комментарии: 32

Pesa hipo kama bilion 2.4 zinatumika kwenye kunua bidhaa kutoka kwenye hardware utasemaje pesa hamna, magoli ya mama timu zinapewa kila goal milioni 5 na mama je kwake anapeleka kiasi gani!?

Bahati iliyombaya ni Wachache sana wenye Utashi wa kuelewa haya mambo(pasina hata kutumia Akili nyingi) Walio wengi(mtaani) ni nyumbu wasioambilika wala kuelekezeka kuhusu Chama chao hicho, na ndio wanaotumia kudhohofisha wachache wenye kutaka mabadiliko

1. Kwanza angeanza kwa kutuambia ile 1.5 Trillion iliyomtoa hadi CAG Assad kidhalim kabisa ofisini ilienda wapi? Hapa zile za plea burgain walizokuwa wanaficha China wala za NHIF walizopiga wakauacha mfuko unakufa hatujazisema. 2. Angetuambia fedha za wastaafu walizochota LAPF na kwingineko kati ya 2016 na 2018 walizipeleka wapi. 3. Angetuambia yeye na Godfather wake kiliwashinda nini kuzalisha hao kina Vunja bei japo 10 tu badala yake tukaishia kuona taasis za fedha yakiwemo mabenki kufilisika, wafanya biashara kufilisika kiasi cha wengine kufa na presha na kujiua. 4. Ni sawa walishindwa hata kusimamia uchumi wa nchi ukawa unaanguka kila kukicha, basi angetuambia nini kiliwakuta wakashindwa japo kuwaongezea mshahara japo wafanya kazi kwa miaka 5 mfululizo wakati wao walikuwa hawana watumishi hewa wala wenye vyeti feki na hawakuajiri mfanyakazi mpya japo hata mmoja. Mwisho, kwa mtu aliyesoma PCM kama wewe unless na wewe ni project ya Mabeberu huwezi kuchotwa kijinga hivi na mjinga kama huyu. Hela ingekuwa inatafutwa kama uyoga hivyo mpka mbwa wangekuwa na pesa!

Watu wanaoenda kwenye mikutano yao ni vichaa, inakuwaje mtu wanahondomola kodi yako afu we unawashangilia?!

Wanakula wanateka na wanaua.

Umepanga kututonesha vidonda vyetu na maumivu ya kulipa kodi kubwa wakati watoto wa cleotus wao wana enjoy 😢😰🥶😭

Imenigusa sana au kwakua maisha yangu magumu

Amesema kweli. Hata ile Trillion 1.5 iliyofanya Prof. Assad akatibuana na Mshkaji wake Polepole ingesaidia mawinga zaidi ya 120,000 nchi nzima

Winga nimeelewa

Saa mbovu unajua anaongea kwa kumanisha ujue..

Mawinga Tusikilize kwa Umakin hapa

Wallahi nimetokwa na machozi.....

Ww umeelewa?!

winga nimeelewa🙌

@xviddl download this

Na ukalipa kodi kwa starehe 📑…

Kwa mtu asiejua kuhusu hii biashara anaweza kukaamini haka kajamaa kumbe utapeli mtupu,Kama biashara hiyo inalipa mbona yeye hajafungua

Dah 🔥🔥

Zaidi ya billion 577 watu wachache wanachukua kweli

Daaah asee vijana sie tumelala sijui kama tutaamka kmmke

Alfu kuna sisi wanachuo tunakosa mikopo kila Mwaka continous mpk tunaeleka kumaliza sasa.. daah nchi ngumu hii asee wakati ukifanya appeal wanaokuja kupata ni watu elfu 4 tu daah.

Uswahiba wa pole pole na wa TZ

Niwauzie bando msikose Habari kama Hizi

gumanina fcm😡

Tnx u

Wakati yupo kwa mfumo alifanya nini yeye na wenzake?walishindwa hata kuwapa watumishi haki zao kubwa zaidi walikuwa wakikwapua pesa za watu kwa Bank.

Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa kichwa

Tatizo wanakulaaaaa

Hatari kwakweli

Kweli katiba mpya ni sasa

Tumchague Zitto Kabwe Kigoma Mjini kwa mshindi wa wananchi na heshima

Kuna wasenge vichwa vigumu hawata muelewa
Похожие видео
Sensitive content
Hapa sio BURUNDI wazee, ni TANZANIA hii hii ambayo ilitolewa 700M.... Si ajabu Diwani na Mbunge wa hapa atapita tena.... Aliyeturoga atafutwe achapwe viboko 🙌🏽 Mkoa 👉🏽 TANGA Wilaya👉🏽BUMBULI
Dullah_theKing🎧
50,792 просмотров • 1 год назад
