Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
UTAPELI UMEANZA MBEYA
57,826 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

byarugaba1 yıl önce
Kibaya zaid majinga bado ypo mengi sna kipndi choote alikuwa wapi tunakaribia uchaguz wnajiptisha majimboni ni ulaghai tu🚮

Mila Smirnova1 yıl önce
Architecture is a conversation between your lifestyle and your environment, speaking softly but clearly.

Gibson1 yıl önce
Hao wengine wanajifa eti wateja kumbe ni ma linzi 😂 ccm bado WApo Enzi za kizamani sana

afande richadi1 yıl önce
Hijabu ameamza baada ya kuanza siasa

Rule of Law1 yıl önce
wanachukua ma v8 sisi wanatupa viazi

𝘼𝙗𝙙𝙪𝙡1 yıl önce
Viongozi wa Africa huwa wanawaona raia ni kama mbumbuu tu

matii1 yıl önce
Mbona yeye hali siasa bhana anawapa wenzie utafikilo wamemwambia wanavitaka

Side Bare1 yıl önce
Njaa na ujasili avijawahi kukaa pamoja

JIWE1 yıl önce
Mamaae 🙌🏾😃

Desmond1 yıl önce
Ila Sisi Sindiyo Tunawakubali Pia, kama hapo Yani

chalocasmili1 yıl önce
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 watu wa uyolee
