Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Uvivu wa KUWAHI shule tuu.😂🫵🏾
24,853 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Uyu ashikwe achapwe viboko na kesho awahi shule

😂🫵🏾 mkongwe

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Kwani huyu ni mtu mzima au mtoto mbona sielewi sauti ya Mtoto ila maneno ya Mtu Mzima usikute ni mbilikimu anasauti kama Ya John Lema wa Mpox 55😃😃😃

Msikilize tena na tena,,Ruhusu fikra yako kutafakari kwa kina anachoongea,,Mshukuru Mungu kwa kumuelewa baada ya kurudia kusoma WOKOVU NI SASA,,NEEMA YA KRISTO NI LEO

Ila Bongo kwa Utapeli.!!

Mdogo ake @IamGabby_1 huyuu

Dogo asubiri kwanza umri ukifika ndo aje atudhihirishie anachosema hapa, Yesu alisewa hawajui walitendalo hivyo dogo hajui anachokizungumzia hivyo asamehewe tu

Dogo abalehe kwanza hajapitia vishawishi huyu anahisi bangi unavuta kwa kupenda

Huyu dogo anajua ni simple kumzuia mjomba akiwa amesimama anataka jambo lake 😂🤣 Asubiri abalehe kwanza

😁😁😁au kumeza radio uyu jamaa
