Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

UZA FIGO MOJA WEWE ACHA UOGA!! TAKE A RISK 😁

59,801 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Prof
Prof1 год назад

Yaani kabisa ukaende Hapo ubaoni kuandika usengerema huo, kumbe ndío maana walikuteka, itakuwa walikufira kabisa Akili zimehamia matakoni kwako... Wewe ni kioo cha jamii how come unaandika upuuzi hujui unaweza kushawishi wapumbavu wenzio kufanya Hivyo. Ata sijui nilitaka kusema

Фото профиля Zature
Zature1 год назад

Wazo unalo sema tatizo umepiga hesabu kila kitu kitaenda sawa, na hizo boda ukinunua kwa jiwe 2, unakuta imejazwa mafuta kila kitu inaingia mzigoni 😂😂

Фото профиля Ayo Dimeji
Ayo Dimeji1 год назад

Remember wewe unapanga na MUNGU anapanga also akuna biashara ya kuuza viungo mkatoliki ni laana mara dufu wapo watu wanahitaji uhai na uzima kama sisi lakini MUNGU hajawapa hii fulsa tulonayo sisi. Unauza na mwili unagaili hizo hesabu zinatoeka kabisa na dreams za kuishi zinaisha

Фото профиля Albert R. Privatus
Albert R. Privatus1 год назад

Hii akili siwez jaribu risk sahihi ni mkeka tu. Kwanza ww unapiga hesabu zote hizo hukuweka Exceptions, why? Hakuna siku Maisha yatanyooka kama ulivochora na Karam kwa board😂😂 . Enewz ngoja niendelee kusikiliza zangu Viva Roma 💯🙌

Фото профиля 𝔹𝔸ℂ𝕋𝔼ℝ𝕀𝔸💯
𝔹𝔸ℂ𝕋𝔼ℝ𝕀𝔸💯1 год назад

Ukisha uza figo moja na hela zikaisha, baadae utatamani umshauri mume nae auze, akiuza zikaisha utaanza tamani kwenda kuuza hata za watoto. Kama unataka uza figo you better uuze au utoe kwa upendo na sio sababu ya pesa utajulaum sana baadae.

Фото профиля Nikky Omega
Nikky Omega1 год назад

Mungu sio mnyinga kueka Figo mbili , utapunguza , utapata pesa za haraka . Then maisha ya badaee ni matesoo matupuu hata hzo pesa zako hazitkusaidia kitu tena . Ukiachilia mbali kua wote tutakufa na hatujui tutakufaje ila haifai kujitngenezea kifo Cha mateso 😔 @Roma_Mkatoliki

Фото профиля Msabato_Safi 🇹🇿
Msabato_Safi 🇹🇿1 год назад

I believe

Фото профиля 👽𝕄𝔹𝕎𝔸 𝕄ℤ𝔼𝔼
👽𝕄𝔹𝕎𝔸 𝕄ℤ𝔼𝔼1 год назад

😂😂😂unaenda kununua ile ile uliouza

Фото профиля I think I am a visionary
I think I am a visionary1 год назад

kwenye mahesabu nimekuelewa Mkato ila kuweka road tena kuwekeza kwenye boda boda, na hasara uja jumuisha kwenye iyo biashara

Фото профиля ẅhiťɛ
ẅhiťɛ1 год назад

🤭

Похожие видео