Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Uzi Thread #EnziZangu🏆 Pure Love
21,632 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 24

🏆🏆🏆🏆

🏆🏆 #Ngonjera

TUNAKUPENDA ROMAA 👊 REAL HIP HOP FOR LIFE 🧬. Mwamba ndio vile msela sana angekua mwanasiasa tungemuita Nabii hakuna jipya alishayasema Mengi kama sio yote kuhusu siasa za TZ🙌. NI vile hawapendi anavyopendwa 🙏

zamani ili uwe muhuni lazima uvae kata K

hii frame no 1 kama kumbukumbu zangu zipo sawa ilikuwa 2012 au 2013 nilitoroka home kucheck show ....,nilivorudi home nilitiwa stick na bi mkubwa mpaka niliumwa,nilikuwa chalii sana around 12yrs

Nchi ya ahadi naikubali sana🔥

Aisee nakumbuka ile show yako ya Chole Road Masaki enzi 2018/19 ni kama stage ilitaka kukatika baada ya kuvamiwa na wana😂😂 Vibe kila mahali, Viva Roma Viva 🔥

Kaka unakabia shingoni au ndo meseji kwa wajob...??

Ile kipindii Mathematics Ipo Kwenyee Prime yakee Ushirikaa ulitugaragazaaaa🙌🙌🙌🙌

Apa naona kitu mbele kitamu kinakujaa

Ukilud TZ upige show siku moja kuwakumbuka mashabiki zako kk

Alafu hapa kaka na mkanda ulivaa

Tunamic sanà live performance yako Maan ukiwà live watu wanaitika Sio Kawa wengine kila Mda weka mkono mmoja juu. We ukipga goma tu mdundo watu wanaitika🫡

Hivi ulikuwa unaimba au unapiga makelele😅

Hatar sana

Kubabake nika mzozo mazee

Mkali Kuna hile mzee umetoka kutekwa mzee baba uku stamina uku mkatoliki da💥🔥🔥🔥🔥🫶

✊🏿

Tatizo mlege

The grandmaster Roma

Nlitak nishangae nsionee show ya iringaa🙌

Daah bro apa ndo ulkuwa Roma nae mjua if you know, you know,,🦁 King

Mwamba, ulikuwa unajaza watu kuliko hata chadema ya sasa!😅

Vp umelimiss vipi hili vibe 😁😂
