正在加载视频...
视频加载失败
Very good discussion here
61,484 次观看 • 11 个月前 •via X (Twitter)
22 条评论

We have been in this game for long as krnyans. we understand all their tricks.. we gona fight for TZ till when justice is served..

Tunaipenda Kenya na upendo waliotuonesha kwa wapendwa wetu waliokufa 29th,30th,31th October 2025 hatuwezi gombana nao.

Watanzania wako na uwezo wa kujisimamia wenyewe. Wakenya ni usaidizi tu. Hakuna ugomvi kati ya wakenya na waTz. Tz ni taifa huru lenye wazalendo wengi walio na nguvu na msimamo dhabiti dhidi ya ughaidi unaotekelezwa na Idi Amin Dada mama bila suluhu na wahuni wake.

Safi sana.. well said sis 🇰🇪❤️🇹🇿

Am glad ndugu zangu wamechanuka.

Na by the way babu (Askari KAR) yangu ndio alikamata Dedan kimatbi akamuachia huru ila wakenya wakajua ni askari mzalendo , it was mzee Magoiga, hivyo wakenya ni ndugu zetu kabisa

We Are One.

Kwanini hiyo nguvu isitumike kupatana na serikali? Mnatumia nguvu kubwa ku deal na vitu vya kijinga Kwanini iyo nguvu isitumike kupatana na serikali?

🇹🇿🇰🇪

These paid idiots who are attacking are all based in the United States of America and some don't even know what they are attacking

I loved Kenya and Kenyans way before they showed up for us, only death can do us apart not some expiring politicians

Mm nilisha waambie wakenya kua sio watz wte wanao wabeza au walio furahiya wakati Boniface alivyo patwa shida. Ni @ccm_tanzania n vijana wao @UVCCMTAIFA ndio wanakuaga mikundu ambapo tofauti za akili na mavi yao uwa ni joto tu. Majority ya watz wanajielewa n hv stood with Kenyans

Hata udini bado ipo

On it

Excellent presentation

Sisi ni watanzania kama nyinyi na sio UVCCM. Shida yetu sio nia za wakenya, nia zao ni njema tu majirani. Ila kinachofanyika saa hivi kinatisha zaidi kwa sababu kadri siku zinavyokwenda wakenya wanapaza sauti kwa wazungu waje watukomboe. Tangu lini mzungu ameikomboa Africa??

Wamefeli

It's a new dawn in TANZANIA. Pole for fallen comrades!!! Soldier On

UVCCM are indeed full of shit inside their heads. Look on this idiot below👇

True

Nnesnse

Rutto anakula kitumbua cha samia
