Loading video...
Video Failed to Load
Video imechelewa jaman
68,168 views • 2 years ago •via X (Twitter)
11 Comments

Muwe mnaenda kwenye maharusi kabla hamjaoa jamani...wadada wanatafuta waume by force 😁 Video kwenye coment

@Nyuki_Malikia Unadhan kuna mwanaume wakuweka matatizo ndani?kuna fimbo mbili hapo nimeziona zinafaa kwamatumizi yabinadamu na sio kuweka ndani

Chembamba nimekielewa

Tuombe Mung konde asiionee hii video uyoo dada hana bahati

Kuna huyu miss mwenye gauni linang'aa 😂😂😂

Hapo kila mmoja ana zaidi ya watano halafu unataka kutuingiza kwenye mtego

Manzi utakayemuoa kupitia eveny hii...atakuwa ana nyanduliwa na watu wanaokuja hapa hapa.... atakukomoa kwa style ile ile uliyomchukulia 😂😂

Siwezi pata no ya hako kembamba kwenye gauni refu niombe mzigo 😋

Humu mwanamke wa kuoa ni mmoja tu na sio mwingine ni huyo wa blue.

Jamani nyieee kuanzia sekunde ya kwanza mpaka 15 ni shidaaa

Icho kidada kirefu chembamba kilochovalia gauni jeusi ndefu inangaa ngaa....alooo n hatare....mnaweza kua na mawasiliano yake please.?
