正在加载视频...
视频加载失败
Video za “tokeni magetoni” 😂
11 条评论

Biashara ya “UNGUO” inalipa sana

got a min for a new song?

Ukitamani mafanikio ya mtu, tamani na matatizo yake 😆

Hapa Tanzania unakuta mtu anauza simu sinza ana Defender 2024 yeye na mkewe, ana LC 300 na ana gorofa Goba huku.. oyaa simu tuuu

Tunafurahi anguko lao kwa sababu walionesha dharau kwa sisi masikini kwamba hatujitumi wao ndio wanajituma kumbe kujituma kwenyewe ni kuuza madawa kazi ambayo hata Chizi au mtoto mchanga anafanya....acha kiwalambe

Its very simple…watu wengi(kama sio wote) wenye hela legit..hawanaga show off za kijinga..Ila illegal cash ndo wao..maana unapata hela nyingi in a short period of time n unataka kufidia “lost” time wakati hauna..eventually una amsha authority kukuchunguza.

Moja ya video viral ni ya kuchora tatoo yenye thamani ya $50,000 nkasema jamaa pesa ipo bhana.

Hizi video kiukweli sizitaki kabisa, zinanifanya nionekane looser katika maisha haya

Mtu akizipata anafokeaa wengine 😀😀😀 Mfate wewe akupe hata namna au Njia . Utaskia mwanaume pambana utapata tu.

kaka hawaja wamedakwa dubai huko na 250kg za unga wamepigwa nyundo 25 ndani

Sa hivi wanapangiwa muda wa kulala na kuamka kama mbuzi.hakuna fashion tena nguo ni za orange one size fits all. Lamborghini na maisha yote ya kuflex itakuwa ni story ila zitawapa ka umaarufu kiaina bwenini kwao. Maisha yana Siri moja tu “satisfaction” ridhika na ulichojariwa.
