Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Watoto washatoka magetoni

32,998 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

King Kittah🐇 profil fotoğrafı
King Kittah🐇1 yıl önce

Wanavuta gundi wanajikuta ma badmento yan sijui wajichanganye fyee watarudi timamu na hshima kama wasabato kuna viwili niliwahi kubizibua nikaviambia nawaonya

Cadabra profil fotoğrafı
Cadabra1 yıl önce

Hawa madogo wapo pale msibazi b kituoni wapo wengi sna wanavuta gundi za viatu hizo wanalewa ndo kama hvyo wanalopoka tu na wapo wengi

Cheed Msabaha profil fotoğrafı
Cheed Msabaha1 yıl önce

Nikikamata hata mmoja ntatia bakora hapo akili imkaee sawa

mr-wati profil fotoğrafı
mr-wati1 yıl önce

Huwaga naumia sana nkiwaona vijana wadogo kama hivi wanapoteza dira zao

Liberation Now profil fotoğrafı
Liberation Now1 yıl önce

Watoto? Panya Road? Vibaka? Sijui...

khingswahswah profil fotoğrafı
khingswahswah1 yıl önce

Hao Madogo ni hatari sana humo kwenye makopo usije zani soda hizo.hizo gundi wadogo wanaranduka kishenzi hawa

Iddý Athümani profil fotoğrafı
Iddý Athümani1 yıl önce

Hasa mbona wanahamasisha halafu wanakatisha tamaaa hapo hapo kwa wakati mmoja

MWAMPOSA Jr profil fotoğrafı
MWAMPOSA Jr1 yıl önce

Shetan amewin pakubwa sanaa mpaka sasa

@Mr_KiwiaHonest profil fotoğrafı
@Mr_KiwiaHonest1 yıl önce

Uwo umri nimapema Sana kutoka magetoni Ila siyo mbaya Sir God awaongoze njia njema nimtiani tunawapitia

Mr power plug 💪🏻 profil fotoğrafı
Mr power plug 💪🏻1 yıl önce

Huyo charii mwenye t shirt ya blue anapiga gundi knoma !! Mungu amsaidie atoke uko mapema

Benzer Videolar

Watoto hawana adabu hawa
0:59

Sensitive content

Watoto hawana adabu hawa

Mulastar

30,848 görüntüleme • 3 gün önce