Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Vifaa vya kutosha.
15,825 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Halafu wote Waislam na wanafanya haya mambo nyakati za Ramadhan………Acha wapigwe Hawa ukiwaambia twende tukaandamane tupate katiba mpya itakayoweza kutengeneza ajira kwa maslahi yao wote hawawezi kukuelewa

Hawa Jamaa wote Dini moja hii ina maana gani .?

Hao mtandao ni mkubwa mno wawaulize na wanapouzia hizo machine haiwezekani wao waibe machine za kuchomelea tu.

KWELI PUGU HOOD

Wachomwe moto tu

ivi huwa kwa nn mtu wa kila tukio baya mtu wa chanika ankuwepo?????????

Mwizi anapata wapi nguvu ya kuweka poz wakat anarekodiwa 😂😂😂

@bukujero_1500 Hawa walishindwa chambua odds 2 🥲

Me nafikiri iyo kazi wangeifanya askari polisi na sio ao sungusungu

Wasenge wanaweka hadi poz wakiwa wanarecodiwa
