Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Vijana tupewe nini tena?

97,993 views • 1 year ago •via X (Twitter)

11 Comments

Extreme introvert 🤦🏼‍♀️💫's profile picture
Extreme introvert 🤦🏼‍♀️💫1 year ago

Tusisahau kuwa kuteseka sio sifa jamani👐

Rock Paper Sizzle's profile picture
Rock Paper Sizzle1 year ago

🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:

vicky's profile picture
vicky1 year ago

Asa hapo si ndo uzito zaidi kuliko kubeba mikononi au kichwani… mabega ni laini na nyama nyingi

Samson Ernest's profile picture
Samson Ernest1 year ago

Tutofautishe mazingira ya mjini na kijijini, tutofautishe mtu wa mjini na kijijini, tutofautishe shughuli za mjini na kijijini. Tusimpime mwanamke wa mjini na wa kijijini kutaka wafanane kama hivi, na tuelewe mke mwema hapimwi kwa vitu hivi, hata wahuni wanaweza kuigiza haya.

Joachim Samwel (PBUM)'s profile picture
Joachim Samwel (PBUM)1 year ago

Haya ni madhara ya utawala wa serikali hicho sio kitu cha kufurahisha kabisa. Akifikisha miaka 50 ataambiwa pingili za mgongo zimesagika lakini angekuwa na bomba ndani au nyumbani kwake hiyo adha asingeijua. Ndio maana nasemaga viongozi wa Afrika waliumbwa na shetani sio Mungu.

Ela Lemes's profile picture
Ela Lemes1 year ago

Na unadhani anafanya hivi cause anapenda hayo msisha?! So, akajipata, akaweka maisha yake vizuri na kutofanya hivi tena atakuwa sio pisi?

#Festo MOSHI's profile picture
#Festo MOSHI1 year ago

Anajituma alivyorusha hilo dumu ka kweli limejaa maji kuna baadhi ya wanaume hawawezi....hata kubeba hvyo na akawa comfort hvyo

dullah_abuu's profile picture
dullah_abuu1 year ago

It's much better to marry such a lady than those university graduates 💯

MAUJANJA_SUPPLIER🧠🇹🇿's profile picture
MAUJANJA_SUPPLIER🧠🇹🇿1 year ago

Uwez ski kajifungua kwa kupasuliwa uyu

Planner🕵‍♂️'s profile picture
Planner🕵‍♂️1 year ago

Huyu hawez hata kumeza P2 wala vidonge vya uzazi, kizazi chake kipo karibu sana, wala hawez kuwaza kutoa mimba, ni mama bora

Abdallah Mmagane's profile picture
Abdallah Mmagane1 year ago

Huyu bint kalelewa vizuri. Anafaa kuitwa wife material baadae.

Related Videos