Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Mwamba kasema wewe tena unabisha nini ?

61,796 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

MASOUD MAMBO profil fotoğrafı
MASOUD MAMBO2 yıl önce

Msigwa tumekuacha kwa muda mrefu, naona kama unaanza kujiona mshindi. Nihivi Mzee em jitahidi kuchanga karata zako vzuri ukiendelea kuropoka bila mpangilio tunaanza kuruka na wewe rasmi

the deo profil fotoğrafı
the deo2 yıl önce

Msingwa bwana anajitahidi kua watu wamuelewe..ila ni kazi sana ..na haijitokea watu kumueleza shida anaongea kwa hasira nyingi na kwa fitina..Mungu atamlipa hakika

Antigon FM profil fotoğrafı
Antigon FM2 yıl önce

Hata wewe unakiri kuwa ni mwambaa? Mnatafuta endosement yake kama dhahabu vile. Mwenzio akiwa amekuzidi kubali, usijifanye huoni au uko sawa naye na kuanza kumsimanga.

Justine Robert profil fotoğrafı
Justine Robert2 yıl önce

Ulishawahi kusoma mambo ya nyakati ??!! Kinachokutesa wanaNchi hata hao CCM wanakupuuzia tuu , tumikia kwanza pesa zao ulizokuwa unakula then utaeleweka utatumikishwa mpaka ukome shahidi ni Msukuma.

Amba profil fotoğrafı
Amba2 yıl önce

@ccm_tanzania mpeni ilani ya ailewe vizur mwendo huu hauwezi kumshawishi mtu akubaliane na mawazo yake ya mbowe na chadema watu wanataka kujua chama kilichopo madarakani kinafanya nini kimefanya nini sio habar za chadema.

🫵🏼 profil fotoğrafı
🫵🏼2 yıl önce

Mwamba tuko naye sana mpaka nchi hii ipate uhuru kamili

Alfred D. Pigangoma profil fotoğrafı
Alfred D. Pigangoma2 yıl önce

Hata kama ni fala basi ficha kidogo sura yako kwani mbeleni kuna aibu! Uteuzi hauji kwa njia za kijinga kwa mjinga kama wewe!

Askofu JANABI profil fotoğrafı
Askofu JANABI2 yıl önce

Nasikia ulikurupuka uliposikia kuna reshuffle ya mawaziri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe unatumika tu kama condom au big G 🤣🤣🤣🤣 mwanaume mzima kila kukicha unamuongelea mwanaume mwenzio. Kwani umehamia chama la machoga aka mashosti 🤣🤣🤣🤣

Camel profil fotoğrafı
Camel2 yıl önce

Kumbe unamwita Mwamba ila una tatizo la Afya ya akili. Wewe mchungaji mchonganishi,mwongo,mfitini,mwenye chuki,mwenye visasi,na sasa umeungana na waovu. Achana na kazi ya Mungu haijitaji hayo ili uache waumini wamtafute Mungu wa kweli pahala pengine.

Obadiah profil fotoğrafı
Obadiah2 yıl önce

Mbona siku zinasogea halafu mission yako haitimii!!! Ujue mda unaisha siunaona hata kwenye pdf hii umekosa ikifika ya 3 bora tutakufurusha na mbaya CDM hawatakupokea tena sijuhi utarudi tlp?? Ile influence uliyokuwa unatambua nayo iko wapi sasa?

Benzer Videolar