Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

20,335 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

7 Kommentare

Profilbild von chabu
chabuvor 1 Jahr

Nakumbuka my mother use to say, every morning you wake up .. the first duty of your new day ni kutandika kitanda baada ya kusali.

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

space meets sound

Profilbild von Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱
Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱vor 1 Jahr

Amina baba askofu. Nimeoa binti miaka 25 sasa namfundisha kutandika kitanda na kupika. Nilishituka maana ni familia zenye maisha ya kawaida

Profilbild von eliah lameck
eliah lameckvor 1 Jahr

Mwanahawa ally ~ viumbe wazito🤣🤣🤣

Profilbild von filbert CHADEMA
filbert CHADEMAvor 1 Jahr

Kachanganya huko na kichaga 😅🙌

Profilbild von Julius Marijani
Julius Marijanivor 1 Jahr

Wengine wana degree wanataka kuolewa na hawajuhi kupika.

Profilbild von Daniel Subeth
Daniel Subethvor 1 Jahr

Ameni 🙏

Ähnliche Videos

TAARIFA Alafu UVCCM machawa comments mnazopewa na Abdul haziwasaidii ndo mnazidi ku rpove kuwa ninachoandika kinawatisha - “unajipotezea heshima au credibility” - sawa sasa mniache nijimalize! Hamuwezi kuninyamazisha maana mi nimekuwa consistent na kusema na kupost mengi ambayo mlisema hivi ikaja kuwa kweli ndo maana hadi sasa post zangu zinasomwa na watu wazito dunia nzima! Tulieni - “ nipo hapa hakuna kitu” - leta picha yako weka live nje ya hapo mlisema huvu hadi Okt 29 tushawazoea hamuaminiki - matusi - hii ndo kabisaaa mi sugu haswa - uwe na mkakati - tunayo na GenZ ila hatuweki hadharani tena! Na tunachofanya ni kujaribu kuona what works! 👊🏽 acha ikae hivyo! Ila hawa vijana hawatakaa watulie! Ila kwa sasa nitawasaidie kuwa front kupost msije makawateka na kuwaua! Nitawalinda! Na katika kulinda sources zangu ndo maana nina source hadi kwa genge la Abdul na Ikulu ila mi huwa siweki kila kitu 😀yaani ni maktaba na track records zaidi ya CIA tulieni! Ila endeleeni kuniona kama lofa 💪🏽 Mwisho kabisa kwa WANANCHI wote nawahakikishia based on sources zangu kwa level mbalimbali HAWAWEZI KUPIGA RISASI TENA KAMA OKT 29 na wanawaogopeni wananchi kuliko maelezo! Walichobaki ni kufanya ni psychological war ili mnunue woga! Na watateka na kuua kimyakimya zaidi! Mtakuja na free free ila bila kuamka hawataacha! Hii ninawapa garanti 💯! Chaguo ni lenu! Na watateka wafanyabiashara, wafanyakazi wa umma, wananfunzi hata Polepole style viongozi wa CCM Mi nipo na nitakuwepo 👊🏽🔥 kuna siku mtakuja kusema kama ikivyokuwa mara nyingi “ulituambia Shangazi hatukukuelewa! Na mtashangaa why mlikuwa mnawaogopa hawa wauaji washenzi! Wameshatepeta! Machawa wangejiamini wangekuwa wachache kama Okt 29 na wauaji wangejaa! Sasa hakuna hata polisi wamejaa machawa kuwajazeni woga - tunajichelewesha tu! Gen Z ndo kizazi cha kipekee hakijakata tamaa na msikatishwe tamaa ✊🏽 Haya tuendelee na maandamano bila kikomo #J1 #tumeshinda🇹🇿 #SamiaMustGo

Maria Sarungi Tsehai

19,561 Aufrufe • vor 5 Monaten

VIDEO: Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Azim Dewji, amepongeza juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujio wa viongozi wa kimataifa wakiwemo karibu Marais 30 na wageni mashuhuri zaidi ya 20 katika mkutano mkubwa wa nishati utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 27 na 28, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari, Dewji amesema ujio wa viongozi hao ni heshima kubwa kwa Tanzania na ni fursa ya pekee kwa Watanzania kufurahia mafanikio ya uongozi wa Rais Samia. "Tumepata taarifa na tumeangalia kwenye TV kwamba tutakuwa na wageni karibu Marais 30 na watu wengine wazito 20. Kwa hili ninampongeza Rais Samia kwamba ni jambo kubwa sana, na Watanzania wote tufurahi. Sidhani kama kuna nchi nyingine ya Afrika, isipokuwa Umoja wa Afrika, inayoweza kuandaa tukio la kiwango hiki. Hii ni heshima kubwa sana Watanzania tumepata," amesema. Dewji amekumbuka mkutano kama huo uliofanyika wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa, akisema kwamba wakati huo idadi ya marais waliokuja ilikuwa ndogo ikilinganishwa na sasa. "Ninakumbuka wakati wa Mkapa kulifanyika mkutano kama huu, lakini walikuwepo Marais kama 14. Safari hii ni mara mbili zaidi. Hii inaonyesha ni kiasi gani Tanzania imekuwa na ushawishi mkubwa," amesema. Dewji amesisitiza kuwa ujio wa viongozi hao unatokana na hali ya usalama na amani inayotawala nchini, ambayo ni matokeo ya mshikamano wa wananchi na uongozi madhubuti wa Rais Samia. "Marais wanapokuja huwa wanaangalia kama nchi ina usalama, ina amani na utulivu. Haya yote ni matokeo ya sisi wananchi na viongozi wetu. Tuendelee kuwa na amani ili nchi yetu iendelee kuheshimika," ameongeza. Kwa mujibu wa Dewji, juhudi za Rais Samia za kuimarisha uchumi na diplomasia zimevutia viongozi wengi wa kimataifa, ambao wanataka kujifunza na kuiga mbinu bora zinazotumika nchini Tanzania. "Uongozi wa Rais Samia umewavutia Marais wengi waje kuhudhuria na kuangalia namna anavyofanya kazi. Si ajabu wakaja kuiga kile ambacho kinafanyika hapa kikafanyika kwao," amesema Dewji. Mkutano huu wa nishati unatarajiwa kuwa mojawapo ya matukio makubwa ya kimataifa kuwahi kufanyika nchini Tanzania, huku ukitazamiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kimataifa katika sekta ya nishati.

Jambo TV

11,995 Aufrufe • vor 1 Jahr