ะ—ะฐะณั€ัƒะทะบะฐ ะฒะธะดะตะพ...

ะะต ัƒะดะฐะปะพััŒ ะทะฐะณั€ัƒะทะธั‚ัŒ ะฒะธะดะตะพ

ะะฐ ะณะปะฐะฒะฝัƒัŽ

๐“๐”๐๐€๐„๐๐ƒ๐„๐‹๐„๐€ ๐“๐”๐‹๐ˆ๐๐Ž๐ˆ๐’๐‡๐ˆ๐€. Saa 3:00 usiku dunia itatambulishwa Simba mwingine hatari kwa viumbe hai. Lipia Simba App, jiunge na Simba Mastori kwa kupiga 0900010000 au Instagram Subscriptions ili kuwa wa kwanza kupata habari hii. #NguvuMoja

SimbaSCTanzania's profile picture

Simba Sports Club

1,996,271 subscribers

20,891 ะฟั€ะพัะผะพั‚ั€ะพะฒ โ€ข 1 ะณะพะด ะฝะฐะทะฐะด โ€ขvia X (Twitter)

ะšะพะผะผะตะฝั‚ะฐั€ะธะธ: 0

ะะตั‚ ะดะพัั‚ัƒะฟะฝั‹ั… ะบะพะผะผะตะฝั‚ะฐั€ะธะตะฒ

ะ—ะดะตััŒ ะฟะพัะฒัั‚ัั ะบะพะผะผะตะฝั‚ะฐั€ะธะธ ะธะท ะพั€ะธะณะธะฝะฐะปัŒะฝะพะณะพ ะฟะพัั‚ะฐ

ะŸะพั…ะพะถะธะต ะฒะธะดะตะพ

VIDEO: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 11, 2026, amewapongeza wananchi wa Zanzibar kwa kuonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa na kudumisha amani wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka 2025. Akizungumza na wananchi na wanaCCM katika eneo la Kisonge visiwani humo, Dkt. Samia amesema kuwa Zanzibar imepiga hatua kubwa kwani uchaguzi wa mwaka huo ulifanyika bila kuwepo kwa vitendo vya uvunjifu wa amani au raia kuumizwa. Katika hali ya kuonesha kuwa ushindani wa kisiasa haupaswi kuwa chanzo cha uhasama, Dkt. Samia amefananisha siasa na ushindani wa klabu kongwe za soka nchini, Simba na Yanga. Amebainisha kuwa baada ya ushindani, jambo la msingi ni kukaa pamoja na kujenga nchi. โ€œNawapongeza na saluti Wazanzibari mwaka huu. Tumefanya uchaguzi hakuna aliyenyukuliwa... Tumekwenda tumefanya kwa amani na utulivu... sisi wote ni wa nchi hii wa visiwa hivi na lazima tuishi pamoja kwa maendeleo yetu kwa hiyo kushindana kumo hata Simba na Yanga si wanashindana,โ€ amesema Dkt. Samia Aidha, Dkt. Samia amewataka wananchi kutumia fursa na mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji yanayowekwa na serikali ili kujiletea maendeleo binafsi na ya jamii kwa ujumla. Amesisitiza kuwa kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar siyo tu kupiga kura, bali ni kushiriki kikamilifu katika miradi ya maendeleo. Halikadhalika, ametoa wito kwa Wazanzibari kuendelea kuishi kwa upendo na mshikamano ili kuvutia watalii na wawekezaji zaidi, jambo ambalo litachochea ukuaji wa uchumi wa visiwa hivyo.

Jambo TV

17,743 ะฟั€ะพัะผะพั‚ั€ะพะฒ โ€ข 12 ะดะฝะตะน ะฝะฐะทะฐะด