正在加载视频...
视频加载失败
Waaaah! Sisemi kitu.
188,816 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
9 条评论

Ochieng Taya3 年前
No huyu mlikua mnavuta naye sigara kubwa na kufanya anasa zingine ?

Mike Sonko3 年前
@oligarchKE Huyu the 4th nilimpea dame beste yangu wa mtwapa akudunga mimba kamtoto kila kakikuwa ni yeye copy right but uzuri wake analipanga upkeep na kuangalia dame mpaka leo na bado anammanga.

WISDOM 🇰🇪3 年前
Wah sisemi kitu pia

Octogenarian3 年前
unaogopa akufinye makei tena?

Mike Sonko3 年前
@phares20_4 Afinye nani. Mimi huwa silipizi kisasi lakini sitasahau. Huyu UK rafiki yangu sasa akuje tupige sigara ile yetu kubwa stress ipungue.

Wanjiru3 年前
When you see dynasties trembling, just know our country is on the right track.

Alchemist3 年前
🤣🤣🤣 unakumbuka vile alikuhanda after amekupea Konyagi state house unacheka karibu uanguke

Goofy Docc3 年前
😂😂😂😂😂I miss that guy thou...

Felix Martim3 年前
Reality
