8 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@MMike56075
Hii ni kweli kabisaa Lilith alijaribu kushika nafasi ya utawala wa Adam hakukalika ilibidi asepe kutafuta chaka lingine kwa devil.... Mungu ana makusudi ya kumpa mwanaume utawala...Hata hili vugu vugu la 50/50 nalo litashindwa tu..
3 likes

@ChazMurimi
Point sana,vibaka wa kike wanadai 50/50
2 likes

@SolarHeavy
- Promises
11,081 likes

@TomWizzy553831
Ina bidi uwaaandalie kikao chao

@buhendeke34190
Naam wambie wataelewa

@Jaxstyp21
Well saidโ โ

@TheNewAkard
Wanawake Wanatakiwa Wawe Na FORUM Of This Type Sio Hao Wanaotaka 50/50

@MasterplanTz
Watembea kifua wazii
