Loading video...
Video Failed to Load
Ndiyo!!! ๐
80,095 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
10 Comments

Aron Julius Makunza1 year ago
@kilepi_tweve Mafanikio hayana tafasiri ya aina moja; Mafanikio ni kuupata ushindi uliokuwa unautafuta. Hivyo kila mmoja ktk harakati zake ana sehemu ya mafanikio.

gerhard II1 year ago
"Success is overrated " ๐

Solar Heavy1 year ago
- All I Knew

๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฎ๐ฌ1 year ago
Trust the process โ๏ธ

OBNMโจ๏ธ1 year ago
Na hata huyu anaekua anaonekana mambo yake yamenyooka kuna matatizo nae anayapitia sema tunakua tunaona positive side

Enfant sage1 year ago
Ameongea kitu cha maana mno kwa mwenye uelewa mzuri, pambana kivyako vyako, levels zetu hazifanani na hazitokuja kufanana. Unaona bado ila wapo wengi wanataman kufika hapo ulipo.

Epa Mush1 year ago
๐ช๐พ๐ช๐พ๐ค๐พ๐ค๐พ

Marcednyo1 year ago
Hakika kabisa ๐

Fedai1 year ago
Well said

Christopher Julias1 year ago
True that
