Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Waarabu waking'oa viti uwanja wa taifa

68,711 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Said Mithun JR profil fotoğrafı
Said Mithun JR1 yıl önce

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 @tanpol wanakwambia watashauriana na mamlaka husika kuona hatua za kuchukua Yani watu wanaonekana live si kuwatafuta majumbani na kuwakamata huo si ni uhalifu?

Tanganyika One 🇰🇪🇿🇦 profil fotoğrafı
Tanganyika One 🇰🇪🇿🇦1 yıl önce

Jeshi police la Afghanistan ni taasisi ya kipumbavu sana....

Hamadi Kijicho wa Mkuranga profil fotoğrafı
Hamadi Kijicho wa Mkuranga1 yıl önce

Anayesema ni waarabu nani? Mimi nikikuwepo uwanja wa taifa na nimejisikia vibaya sikuweza kumpapasa mwarabu hata mmoja. Jamaa hawawezi kutuletea dharau tupo kwetu NEVER!!' Na wasipokuwa makini kuna siku watauawa ugenini. Hamuwezi kuwa arrogant kiasi kile mpo ugenini.

MZUNGU PORI💪 profil fotoğrafı
MZUNGU PORI💪1 yıl önce

Simba wanatuona sisi wajinga

Sensibo profil fotoğrafı
Sensibo1 yıl önce

📷 A tough day in the jungle—how does this sloth overcome it? The twist you didn’t see coming

Asombwile David profil fotoğrafı
Asombwile David1 yıl önce

Rage aje afute laana yake ya kuwaita hawa jamaa mbumbumbu,akili za kidunduka hizi

Ust Rama. profil fotoğrafı
Ust Rama.1 yıl önce

Mbona wanaorusha sio waarabu?? Au waarabu ni wenye nyekundu

gervase malimi profil fotoğrafı
gervase malimi1 yıl önce

Huyo ni mwaarabu tena kiti cha bluu

Cephas uncle profil fotoğrafı
Cephas uncle1 yıl önce

Kwa kweli inasikitisha sana kuona kijana wangu mpuuzi kabisa @Baopanther976 yupo kimya hadi muda huu ila anahangaika na mbowe

samwel_mvungi profil fotoğrafı
samwel_mvungi1 yıl önce

Waarabu waking'oa viti na kuwashambulia Mashabiki wa Simba 😂

Benzer Videolar