Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Wabongo wanapenda sana shida aisee🤣🤣🤣🤣
365,129 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)
8 Kommentare

CLARA🖤vor 3 Jahren
Milioni kumi kwa uso ulojazwa binzali 😹

Ⓜ︎Ⓦ︎Ⓐ︎Ⓖ︎Ⓘ︎Ⓣ︎Ⓞ︎🏀vor 3 Jahren
🤣🤣🤣🤣🤣

Mgodi Endelevuvor 3 Jahren
Hawa ndiyo wanasababisha bei za bundle zinapanda

Ⓜ︎Ⓦ︎Ⓐ︎Ⓖ︎Ⓘ︎Ⓣ︎Ⓞ︎🏀vor 3 Jahren
🤣

Adamoovor 3 Jahren
Afu unaeza kuta anakaa Bonyokwa chumba Master na Kijijini kwao Mlango wa Choo ni Gunia 😂

MR BENvor 3 Jahren
Ametokea Nchi za Nje 😂😂

Daktari Wa Manesi 💉💊vor 3 Jahren
Watu Wanatembea huku kichwani wamebeba kiwanja cha 10 kwa 10 Bunju. yaani kusuka million 2 😀

Neypaul🤎vor 3 Jahren
😂😂😂 ukute hana hata kiwanja😅😅

