Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Waliofunga ndio wanaongoza kusema watu 😅

52,662 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

Kulikuwa hakuna haja ya kujirekodi kama kweli ni muislamu… Hii ni dhihaka Kwa dini yetu… anabahati yupo Tanganyika! Zanzibar au huko nigeria asinge eleweka 😅😀

Profilbild von FANCO
FANCOvor 2 Jahren

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne 👉

Profilbild von Ramzan Kadyrov🇷🇺
Ramzan Kadyrov🇷🇺vor 1 Jahr

Binadamu tunajisahau kama tumeletwa duniani kuishi milele,Allah amuongoze ndugu yetu huyo...

Profilbild von MMBAX 
MMBAX vor 1 Jahr

Huezi kuwa umeshiba alafu umseme mtu😂😂😂

Profilbild von MIRIAM💜
MIRIAM💜vor 1 Jahr

Kwani lazima ajirekodi kuonesha hafungi smh

Profilbild von Ally Hajj
Ally Hajjvor 1 Jahr

Hata Kama hufungi Bora ukaee kimyaa... Sasa hapo unashindana na nani... Kwani nani kakuambia funga ni ya watu... Ili uwe muislam lazima uikamilishee hii nguzo ya kufunga ni lazima Kama unakula na Tena kwa kujisifuu huwezi ukawa muislam... Au unafunga kwa ajili ya kupata zawadi

Profilbild von 𓏤𓏤𓇌 Daijō 𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 Daijin 🌌 𓁿𓋙
𓏤𓏤𓇌 Daijō 𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 Daijin 🌌 𓁿𓋙vor 1 Jahr

Huyu Jamaa kitimoto anakula na alifanya tangazo 🤣🤣🤣🤣 shangwe Sana watu hawa.. wahabi na makundi Yao ya siasa kali hapa Tanzania hawafui dafu maana hamna wanazi wa dini

Profilbild von abudhabi
abudhabivor 1 Jahr

Ujinga nao mzigo unakupeleka pabaya

Profilbild von Ally Hajj
Ally Hajjvor 1 Jahr

Hata Raisi wetu mama Samia anafunga 30, akina mo dewji baharesa gcm nk... Kufunga ni kujitakasa na kupata radhi kwa mola wako.... Siyo zawadi za watu mjinga weeee

Profilbild von Military Battalions
Military Battalionsvor 1 Jahr

Kila siku majigambo tu! Tutakuchoka kama mandonga

Profilbild von majir_jr
majir_jrvor 1 Jahr

Dunia ni njia tuu ya kupita, tusijsahau sana

Ähnliche Videos