Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Watu wanapitia mengi aseeh. 😅😅😂

78,427 views • 2 years ago •via X (Twitter)

9 Comments

Baddest8's profile picture
Baddest82 years ago

Mwanamke akiona anachelewa kwenye malengo yake hatojali kuhusu wewe ataanza kutafuta mwingine Always wanajipa kipaumbele wao, hisia zao ni makatili mnoo

AMIRI's profile picture
AMIRI2 years ago

😂😂😂 Daah kila mtu anayakwake, mimi alintumia picha yuko na bwana ake mpya. Wakaniandikia na maneno ya kispain nikateseke nayo google translator huko.

E.A.G.L.E@TZ's profile picture
E.A.G.L.E@TZ2 years ago

ya Ali kamwe yalinikuta na mimi ilikuwa mechi ya simba na mlandege demu nimemkuta na mshikaji na alinikana mbele ya mshikaji na bado simba nao tukafungwa na kombe tukakosa ile siku daaaa haya maisha sio poa

Algebra's profile picture
Algebra2 years ago

Daaaaa sema huyu mwana ana story kama Yangu kanikumbusha mbali Sana demu aliniacha kikatili sana

Richard kanakoko's profile picture
Richard kanakoko2 years ago

Yaanii,siku hizi hata kuzaa na mtu si kigezo cha kutoachwaaa.😂😂😂😂,,, Cha muhimu ni kujipendaaa zaidiii ktk maishaaa yakoooo.Hata kama umeoa usiweke asilimia zote kwake,laweza tokea lolote.😂😂😂

888 🌞's profile picture
888 🌞2 years ago

2021 ilinikuta hii naiyo siku simba n yanga walikuw wanachez hahaha nilishindia chupa kubwa y maji toka asubuh mpk usiku

Paschal Mdee (Amir)'s profile picture
Paschal Mdee (Amir)2 years ago

Ali kanikumbusha ase🙌🙌🙌 Maisha haya… Sometimes tunaonekana wakatili ila watu hawajui tu🚶

Ázàan's profile picture
Ázàan2 years ago

7/10/2012

kwisa's profile picture
kwisa2 years ago

Sasa hapo walevi wamekukosea nini mpaka uwataje

Related Videos