Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Wanapatikana Mkoa gani?🤣

42,731 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 33

Фото профиля Mr Deal
Mr Deal2 лет назад

Af kuna mgaigai yuko pembeni atajilia kisela😂😂😂 mapenzi bana

Фото профиля HUDI
HUDI2 лет назад

📢 The Draft Plan for HUDI’s Relaunch: 🌐 HUDI goes multichain 🛸 Mega airdrop 🔥 Token burn 🔥 🤖 Product launch: HUDI AI to talk with your data and beyond 💡 What do you think? Suggestions or ideas? 🐸 Let’s make HUDI great again! 🚀 #HUDI #Crypto #binance #token #bitmart #bnb #token #launch #AirdropAlert

Фото профиля Shabani Issa
Shabani Issa2 лет назад

Fanya vyote kwenye maisha yako ila zawadi kama nyumba au gari anapewa mama mzazi tu na sio mke

Фото профиля Mc_Mbata💥
Mc_Mbata💥2 лет назад

Kamnunulia gari halafu anakuja kumpenda jamaa ambaye atatengeneza tairi likipata hitilafu barabarani💔🤣FEAR WOMEN

Фото профиля CJ
CJ2 лет назад

Mtoto wa kwanza unaend kupig DNA sio wako ndomaan mnajipig kitanzi

Фото профиля malume™
malume™2 лет назад

Huyu ni simp hajui kitu ya kufanyia pesa

Фото профиля Martin Paul Martin
Martin Paul Martin2 лет назад

Halafu unamfumania na shamba boy!

Фото профиля Sylvester
Sylvester2 лет назад

wakati huo wazamiaji tutazamia hadi ndoani na tutamkaza huyo mwanamke😂😂

Фото профиля Anko
Anko2 лет назад

Hii Moment ni nzur snaaaa omba siku ui experience

Фото профиля Giuseppe
Giuseppe2 лет назад

Mbwembwe zote hizo na kuna mwana anakula for free 🤣

Фото профиля Kasulu
Kasulu2 лет назад

...and it will still end in tears!

Фото профиля Bova_moro
Bova_moro2 лет назад

Songea

Фото профиля Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba)
Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba)2 лет назад

Wanapatikana Tarime huko Mara, fita ni fita muraa... 🤣🤣🤣

Фото профиля Daniel Mathias.
Daniel Mathias.2 лет назад

@maganga_sm Halafu anakuja kuchapiwa na jamaa anaemjazia mafuta.

Фото профиля Azmina
Azmina2 лет назад

Tumuombee sana kaka yetu yasimkute ya Sutibega

Фото профиля eshy official
eshy official2 лет назад

Daslam vyote unavikuta😀

Фото профиля Baba Collins
Baba Collins2 лет назад

Afu anakuja kuliwa na mhuni wa garage tuu, kamtengenezea vzr spear tire. 😂

Фото профиля This Is Joel
This Is Joel2 лет назад

Wanapatikana hapahapa Dar es salaam, Kariakoo ndo Maeneo yao ya kujidai

Фото профиля Na hapa ipo
Na hapa ipo2 лет назад

Hawa wauza suit wapo hapo kkoo 😂😂😂😆

Фото профиля Andy
Andy2 лет назад

Wakike au wa kiume 😀

Фото профиля Keyser Söze
Keyser Söze2 лет назад

Madogo wangine @enigmaticDady kula li inspiration hilo😂😂

Фото профиля Majura Bwanshoni
Majura Bwanshoni2 лет назад

Tabora

Фото профиля Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻2 лет назад

Singida karibu sana

Фото профиля MR. TELLY
MR. TELLY2 лет назад

Audio kaimba Nan?

Фото профиля rama47
rama472 лет назад

pongez kwa director na camera man kwa kazi nzuri

Фото профиля Possiblelizer
Possiblelizer2 лет назад

Na bado kuna boda ukute anambamiza.

Фото профиля Kibaka Mzoefu 🎅
Kibaka Mzoefu 🎅2 лет назад

Buza moja hiyo 😉

Фото профиля King Herode⚡️🇿🇦
King Herode⚡️🇿🇦2 лет назад

Na sisi watumia gari tunaomba awap kuja 😁

Фото профиля Gidofond..
Gidofond..2 лет назад

Hii michezo 😂

Фото профиля O G
O G2 лет назад

Tafuta kamutu flani Dar Es Salaam hukosi 😏

Фото профиля N Y O N Y O M A
N Y O N Y O M A2 лет назад

Mtoto wa mtu namtaka ajitokeze basi🔥🔥🔥

Фото профиля Emmanuel Stephens Jr
Emmanuel Stephens Jr2 лет назад

Katavi na Rukwa!

Фото профиля Priva
Priva2 лет назад

Oya @Angeloeustad unauliziwa kaka

Похожие видео