Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
...... WATANZANIA SHALOM!
31,436 görüntüleme • 17 saat önce •via X (Twitter)
34 Yorum

TUNDU LISSU Yupo Tayari Kwa Mazungumzo Na MARIDHIANO Lakini Anataka Kwanza Serikali Ya CCM Ifanye Mambo Haya👇 1..UWAJIBIKAJI Kwa Mauaji Ya MO29 2...HAKI 3...UKWELI Haya Ni Maneno Aliyoyasema Lissu Mara Kadhaa Akiwa Mahakamani Lissu Hataki HURUMA Anataaka HAKI

Toka hapa. Wewe ni mwanachama na unaelewa utaratibu waku’adress Chama kwenye jambo lolote lile, why haujafuata utaratibu? Au unadhani ukiandika tweet ndio itavunja msimamo wa Chama? Huo muda ulitumia kuandika tweet kuhusu viongozi wa CDM ungewaandikia serikali ya mbogamboga waache utekaji na kufunga wapinzani kwa kesi za ugaidi na uhaini Kuhusu suala la kuzungumza Kamati Kuu iliadhiamia inataka uwajibikaji kwanza na wakaweka masharti yao, sasa wewe unataka chama kisema nini tena wakati tushaadhimia? Kuhusu hilo la kuzungumza unafikri Mhe Lissu yeye hajaona umhimu wakuzungumza na watawala wamuachie yeye kama yeye ukiachilia mbali Kamati Kuu? Wewe unamachungu zaidi Mhe. Lissu kuwa gerezani kuliko Mhe. Lissu mwenyewe? Ukiona chama kinaumia ondoka hamia Chaumma kama wenzio, unataka Chadema itangaze maandamano kwa saivi ili viongozi wote wakamatwe? 🚮

Check kashoga haka 😂😂😂

Kijana Ameharibikiwa Mapema than I thought! Nina maswali kadhaa kwako… Jee Rafiki yako Soka alitekwa lini?? Jibu ni moja kipindi tuko kwenye Maridhiano/Mapendano. Jee? Mzee wetu ali Kibao alitekwa lini?? Jibu n moja kipindi tuko kwenye mapendano. Hii ni kumaanisha hawa watu hawahitaji maridhiano ili waache kuteka watu. Hawahitaji maridhiano waache kubambikizia watu makesi. Hawahitaji maridhiano waache ushenzi wanaofanya kwa watu wetu..

Huu ndio utangulizi wa press yetu ya Kibo Palace? Kaka @frediejustine hauna audacity tena ya kuhutubia Watanganyika baada ya kumwibia @TunduALissu akiwa jela. Nini tofauti ya mazungumzo na maridhiano? Mbowe alizungumza na Samia kwa mwaka 1, tulivuna nini?

We chawa wa lema na makengeza kumanyoko kafirwe na dully msenge we

Wewe endelea tu na hizo ngonjera zako lakini watu si wajinga kama unavyowaza, kama ulitaka kukiaddress chama fuata taratibu za chama,uliwahi kutuhumiwa kula hela za michango ya Lissu,watu wakanyamaza,umeanza udalali hatutanyamaza TUTAKUFUATILIA

Front line mwizi wa pesa za Lisu?

Kuma la mama yako mwizi wa pesa za Lissu

Hoja zako 2 zote zinasadifu upo compromised. 1. Unasema maandamano ya kwanza ya kumtoa Lisu yalileta maafa(sikujua kama hii ilikuwa lengo), kwanini unadhani maandamano mengine ya kumtoa hayawezi kuleta maafa, unadhani wananchi hawaoni ilo? 2. Lisu kuomba kuachiwa hilo si sharti?

Kwanza kwanini uliiba pesa za Lissu?

Kajizi haka kalifikaje kwenye chama? Kapuuzi kweli kweli

UMEZUNGUKA WEEEEEEEE UMEZUNGUKA WEEEEEEEE MWISHO WAKE UMEFIKA BEI KWA MACCM

Acha ulaghai wew...hivi TL angetaka hiko unackokitaka wrw unadhani mda huu angekuwa nyuma ya kuta za magereza...?kwanini unatala kwenda kinyume na msimamo wa mwenyekiti wa CDM unataka chama kikaongee nn na hawa CCM..?kosa lipi CDM inafanya mpk ikapige magoti kwa wauwaji...?mnafik

Huwezi kukaza sauti Mrembo?

Hii takataka Ina sauti kama demu 😆😆😆😆,

3. Umetamka Jambo Tv, Je, kipindi JAMBO TV anaikoroga CHADEMA na kuwa Shahidi ulikuwa haujaanza Siasa..? Account za CHADEMA zilinunuliwa na nani..?

kwa nini jambo Tv. akupigie simu wewe mara tu ya maoni yako mtandaoni?? wewe umeshafika bei achana na WA Tanzania wadai haki

Kibaka wewe umekubali kulamba matako ya lema

Sasa Mbowe ulimpinga kwa lipi?

Shoga wewe

We kumbe ni mpumbavu hivi?Sikuwahi kujua ila kikubwa nikushauri kwa amani kabisa we sepa tu maana uleshakengeuka huna hoja yeyote ya maana na chama kilishatoa mwongozo we unapinga kama nani?

Wakati viongozi wetu wanafanya mazungumzo na CCM Zanzibar mlikuja hapa mkasema wanaramba asali, na nyie sasa mnatafuta mzinga wa asali. Huwezi kukwepa mazungumzo labda tu uwe unataka kuingia msituni. Muhimu ujuwe nini Wananchi wanataka ndipo uingie kwenye mazungumzo.

Waishe kwanini wanachama wa chadema wapo wengi shikilia msimamo dogo usipoweza kaa kushoto kummake

Ulimwelewa Mzee Alute kweli wewe? Ulimwelewa kwa nini alikataa kuandika barua ya kuomba msamaha? Halafu unasema chama kingechukua uongozi, yaani unataka chama kiombe msamaha kwa kesi ya Lissu? Wewe una kazi ya kampeni

We kashoga toka hapa

Nakubariana na wewe on doing anything possible to save mwaipaya's life that's it..nimesoma sana siasa za raila...na nilikuwa nae karibu..ilipokuja kuhusu kuokoa maisha ya watu angefanya chochote...sio sawa kuacha watu wapotee tu

1. Umesema Wenzenu wameendelea msimamo na kuteka na kupoteza. MWENZAKO NANI....?

Hizo kodi zetu mnazopewa na abdul mtazitema. Hakuna mazungumzo na muuwaji samia. Full stop. #tundulissusiMHAINI

2. Umesema Chama kiongozwe na Hekima, Freeman Mbowe akitumia hekima, uliona mwafaka wowote kutolewa na CCM...? Hekima iliyotumika kukaa na CCM zaidi ya vikao 3 ilitumika kimakosa au unataka hekima gani...?

Dogo unatuchukuliaje

Wewe dogo ulikua mstari wa mbele kumchafua na kumtukana mwamba na ulisema huamini kwenye siasa zake za hekima na busara unaamini kwenye siasa za wakina Lissu mchakamchaka😂 Leo unajipinga mwenyewe, mchakamchaka hakuhitaji akili, komaa janja mamae😂

Unamlisha maneno kaka Lissu mbona?

Mavi ya umbwa mweusi
