Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Ujumbe wetu kwa Watanzania.

22,714 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

16 Kommentare

Profilbild von Sospeter Owuor
Sospeter Owuorvor 1 Jahr

Binafsi ni mwanachama wa CCM sio CDM, lakin ni Mtanzania kwanza, ninachotaka ni nguvu ya kura yangu kwenye kuchagua kiongozi. Kwahiyo naunga mkono reforms ndani ya CCM, na katiba ya nchi, including Tume ya Uchaguzi.

Profilbild von Eram Peter
Eram Petervor 1 Jahr

CDM iko kwenye njia sahihi, na itakumbukwa daima kwa kupigania kurudisha nguvu ya kura ya mwananchi. Wakati huo watu wanaifurahia demokrasia ya kweli maana kinachoendelea kwa sasa ni illusion tu na kuharibu kodi za wananchi.

Profilbild von Elia Mbise
Elia Mbisevor 1 Jahr

No Reforms No Election

Profilbild von chalocasmili
chalocasmilivor 1 Jahr

Hapoo Kwenye umeme aiseeeee Kaz kwel kwel

Profilbild von Enold Elisha Kassedy
Enold Elisha Kassedyvor 1 Jahr

Ujumbe umeeleweka

Profilbild von shedmoss
shedmossvor 1 Jahr

Kina Baba Levo 😂😂

Profilbild von KOBA16
KOBA16vor 1 Jahr

No reforms no election

Profilbild von mkaruka
mkarukavor 1 Jahr

umeelewela vyema tata

Profilbild von theophiltz
theophiltzvor 1 Jahr

mheshimiwa moja ya maamuzi bora na magum ni haya ya sasa haiwezekani ili diwani au mbunge wa chadema atangazwe lazima wafe watu 5 au 10, najua itakua miaka 5 migumu lakini ina mwanga mzuri toward the end of election evils

Profilbild von Maureen C
Maureen Cvor 1 Jahr

HAKIKA!!! Wananchi tuko mbele yenu. NJIA KUU NI #NoReformsNoElections #ReformsYaMifumoYaUchaguzi #ReformsYaSheriaZaUchaguzi #KuraYanguIheshimiwe

Profilbild von Radamel Falcao
Radamel Falcaovor 1 Jahr

Sasa mambo ya CCM yanakuhusu nini

Profilbild von john DY/DX
john DY/DXvor 1 Jahr

🔥🔥

Profilbild von Husseni Khalidi
Husseni Khalidivor 1 Jahr

Mzee wa matamko 2030 tuonane

Profilbild von John Nguti Chadema
John Nguti Chademavor 1 Jahr

#NoReformsNoElections

Profilbild von Jackson Thomas
Jackson Thomasvor 1 Jahr

Hakika

Profilbild von Flavio
Flaviovor 1 Jahr

Safi

Ähnliche Videos