Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
WATANZANIA sikilizeni🫡🫡🫡
22,081 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Napenda kuona watu hawaogopi tena… kila siku kunazidi kukucha ✊

- All I Knew

Labda Wataelewa, Akiongea Lema Wanasema ni Mloo Wa Madalaka,Lisu Anavuruga Amani,Heche Na Wengine Wanahamasisha Vurugu..... Tuamke.

Hawa kumanina zao waliwaonea wazaz wetu, yaaan anapewa chumvi ya jero na kanga mzeee nae kikofia cha buku tiar kura anampa, round hiii wametomba moto kumamaeee, jana nimechoma kadi za, ccm za wazeee wangu na nimewaambia hakuna kupiga kura, na vitambulisho wamebipa niwawekeee

Paaza sauti dada hongera sana 🌷

Tusihadaike na kanga na 30, 50 za kutumia siku mbili unampa mlaji miaka 5 hadi 10 halafu unaachwa unateseka, hakusemei chochote wala hahangaikani na wewe. Anasubiri uchaguzi ukaribie akuletee ndolezi cup, mchengerwa cup, mavunde cup n.k Akununulie pombe umpigie kura Waza kesho

Amenyooka

Kweliii

Aweke lipa namba aokote

#NoReformsNoElection

Well said my sister with NO REFORMS will be NO ELECTION
