Tutaona mengi π
@SportsarenatzTz437K followers
35,755 views
10 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@lutherjr___
Watanzania tunakoelekea sio kubaya soon Majizi yote CAG anayotaja yatawajibishwa na kufilisiwa
9 likes

@sportshqtz
Watu wa Mkoa wa Mara huwa hatuna unafiki
4 likes

@KapingaMashaka
Ila hii nchi Mungu atusaidie Maviongozi hayaoni hata aibu eti Ebu nipigien makofi na kuninyoshea mikono π€£π€£π€£π€£π€£
3 likes

@cultureman28756
Ila wakuryaππ
3 likes

@lutherjr___
#NoreformNoelection πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
2 likes

@bonusbettz
Watanzania Hawacheki na Yeyoteπ π
2 likes

@Honey_0_Badger
Hapo Nyamwaga mkutano wa kwanza wa Nyerere, kabla ya kuhutubia alikutana na swali....πππ
2 likes

@NesiMkunga
#NoReformNoElection
1 like

@kakamkubwaa
Nyamongo π tarime
1 like

@mwera_amos24223
Kwani hamkumwambia mwanetu asombe chawa wakamsapotiπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
1 like
