Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Watu wapo serious huko Rombo!
39,869 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Shamba kubwa ila nyanya hainakubali kama inavyotakiwa

🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:

Hawa ndio madon wa nyanya! Nawafahamu wawili mwaka jn wamepiga mmoja b3 mwingine 800m. Mungu anakuongezea mwenye nacho. Madon wengi wana gari zao wanafunga mzigo Mombasaa km soko la dsm litachafuka

Hiii ni kimana kenya kaka baada ya tarakea boda, olytokt kisha kimana

Tatzo soko , salads, fruits, vegetable hakuna soko la uhakika,zinaoza tu sokoni.

Kwetu huku, watu wanaulizia ‘eleri’ sio vyeti.

Huyu miaka miwili ijayo, Naomba mungua aniwezeshe nimlipe hii. Amen

Aisee

Dsm tenga sokoni 80k Hadi 100k

@HusseinBashe and your BBT, you have something to learn from Rombo people, Behold these are the people to empower and take advice from them.

Fuso zinakuj kuchukua na kupeleka mabibo
