Welcome to Tanzania πππππ«΄
@Rydx_017102K followers
238,377 views
29 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Baradhuli2
Ukimkuta kwenye kijiwe cha kahawa anavyo ibagaza serikali sasa π
6 likes

@amprincess9
Mzee anasikiliza nini? Mziki unatokea hapo!π
5 likes

@Rydx_017
Pana spika ππ«΄
1 like

@MacAlpho
Mzee anajuta kuzeeka, haamini kabisa macho yakeππ
3 likes

@AthumanDa
Ndiyo maan nisiachiagi sitiπ
3 likes

@Big0047
Huyo ndio @jwise017 hapo ni nanganga π
3 likes

@Rydx_017
@jwise017 ππ

@Nahyastore
Huyu babu yangu @jwise017
1 like

@KHiyary
Huyu najiona mm kbsaa nikizeeka
1 like

@ZephaniaTz
Ukiskia "hata wahuni wanazeeka" ndo huyuπ€£
1 like

@Mwinshehe07
Duh πππ€£

@xmmxv97886
Wale Jamaa....Palee ni watoto Ni Huzuniπ₯²

@SongalimiJ
Mwanamke wa hivi hukuti anagombania kubadili hati ya Nyumba ya mumewe..

@MKamokene34890
ni kudebweleshaaa tu

@dos08981284
huyu mzee kama unamkuta kwenye kijiwe cha kahawa anavyochambua siasa sasa

@davidnditihrmp
Sababu za Mzee wa kwanini hajajenga....

@bernjcm
π€£π€£π€£π€£π€£π€£

@dos08981284
sasa mzee anaskiliza nini?

@NesiMkunga
ππ

@bobolaizer
ππ









