Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Wewe umefanya kazi Wizara ngapi so far? 😂😂
145,836 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Daktari Wa Manesi 💉💊2 лет назад
Experience anayo kijana apewe kusimamia mradi wa SGR 😀

Lubasha Jr2 лет назад
😂

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿2 лет назад
Dah! Nimecheka sana. Lakini hii ndio reality kwa vijana wengi. Katika harakati za kujitafuta unashitukia umefanya kazi “Wizara” kibao. Hadi Sasa mimi natumikia “wizara” tatu; ikiwemo ya njinsia; kina mama na watoto kwa kuwalea wanangu 😂😂

Baba Assad CAG🇹🇿2 лет назад
TikTok inakumalizia bundle 😂

Lubasha Jr2 лет назад
🤣🤣

GetrudeM2 лет назад
Daaaaa😂😂😂😂waziri mkuu amtambue kijana, ana experience

Lubasha Jr2 лет назад
Sana 😂

ALLY MSANGI2 лет назад
Aisee nimecheka sana. 😂

Lubasha Jr2 лет назад
Vijana wa hovyo 😂

Wamuhira2 лет назад
😀😀😀😀mm nadhan sio chini ya wizara 20 na bado kuna zngine hazieleweki n wizara au sio wizara mfano udalali😀😀😀
Похожие видео
Pweza kamaliza kazi huku wanangu wa BACK BENCHA kazi kwenu 😂😂
goligani
32,348 просмотров • 1 год назад

