正在加载视频...

视频加载失败

Whaaaooh!! Detachable Airplane Tech!! PILOT Vipi?🤔

25,236 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

HIMSELF 的头像
HIMSELF1 年前

Kikinuka pilot anaelekea upande wa abilia kitu ndio inachiliwa 😄

ARK Electronics 的头像
ARK Electronics2 年前

Elevate your drone game with our USA-made, NDAA-compliant flight controllers! Trust in reliable technology that not only enhances your flights but also supports US drone manufacturing capability. 🇺🇸✈️ #USAMade #NDAA #drones #uav #uas #px4 #ardupilot #USA #unmanned #opensource

hamisi shabalala cneper 的头像
hamisi shabalala cneper1 年前

NIMEOTA KUNA DUDE UKILIACHIA TU BODA BODA WOTE WANALIPIGA

Raphael Nath 的头像
Raphael Nath1 年前

Pilot na captain hawaruhusiwi kutoka in emergency kabla ya abiria na crew nzima hawajatoka.

Baba'ke 的头像
Baba'ke1 年前

Kabla mzigo haujajitenga na ndonga ya ndege nao wajipate kwa abiria,ujuaji wao utawakosti kutaka okoa chombo ya Bosi.

Gabriel Lyanga 的头像
Gabriel Lyanga1 年前

Waoo waoooo Kuna Raha duniani unapokuwa huru kutumia akili na maarifa yako kutoa suluhu ya tatizo Kwa manufaa ya wengi, nimeipenda hiyo kwani usalama wa watu ndio kipaumbele no 1,

Mkalipa 的头像
Mkalipa1 年前

Ajali bhana 🤔🤔

do or die 的头像
do or die1 年前

Nahodha anazama na meli 🤣🤣🤣🤣

prince mbatata 的头像
prince mbatata1 年前

Yeye halipi nauli

Fundi Mabomba 的头像
Fundi Mabomba1 年前

Brother tupe moja la siasi goma kali pleas

salum salum 的头像
salum salum1 年前

Mtu hatoi nauli. Acha kimlambe

相关视频