正在加载视频...

视频加载失败

😭😭😭😭😭 Why ? Why ?

31,965 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

ELIUD ELIAS 的头像
ELIUD ELIAS1 年前

Huyu msenge kmmk ndio anaumiza watu kwani yeye hatuwezi kumfikia kwamba muda wote analindwa

The Information 的头像
The Information1 年前

Why Salesforce’s big AI bet is off to a slow start.

WLMNM 的头像
WLMNM1 年前

Watanzania ni wapole sana sana,hata ngoma haipigwi hivo.

Elijah14 的头像
Elijah141 年前

Inaumiza Sana hii,nafikiri ni wakati sahihi kwa kila mzalendo anayeipenda nchi hii kutowapa ushirikiano wowote watu wa namna hii mpaka watambue thamani ya watu wengine

olewangaolesyita@gmail.com 的头像

Watoto wake watakuja kufanyiwa hivi hivi, Kuna watu wengi walifanya unyama kwa wenzio na leo hawapo familia zao pia zinapitia wakati mgumu kuliko wazazi wao walivyowapitisha Watoto wa wengine,muda utasema

ULIZA DEUSOKA 的头像
ULIZA DEUSOKA1 年前

@ccm_tanzania wameuza nchi yetu ya Tanganyika kwa warabu wa MAMA. Askari/VIBARAKA wamegeuka kuwa MAGAIDI wa MAMA. tunakoelekea watutupia mabomu ya mkono.

Smart & Lucky 的头像
Smart & Lucky1 年前

Jitu halina ndevu na miwani yake usikute lihanisi, unapigaje mwanadamu hivyo ikiwa una watoto! 🚮

JAFETI MUSSA 的头像
JAFETI MUSSA1 年前

Very sad but mwisho unakalibia

B Qassim Idarous 的头像
B Qassim Idarous1 年前

Atapandishwa cheo kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kumfurahisha boss wake leo na account itasoma pia leo akapate kipasha koo cha jioni ipo siku mtaijutia hii kazi 😭😭

Maregesi Korogo 的头像
Maregesi Korogo1 年前

Unampiga binadamu mwenzako hivyo pasipo kuwa na moyo wa huruma ndani yako , siku ya ibada unaomba huruma ya mungu dhidi yako

fido 的头像
fido1 年前

TII SHERIA BILA SHURUTI.

相关视频