ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Why ? Why ?

31,960 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 1 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

11 ๆก่ฏ„่ฎบ

ELIUD ELIAS ็š„ๅคดๅƒ
ELIUD ELIAS1 ๅนดๅ‰

Huyu msenge kmmk ndio anaumiza watu kwani yeye hatuwezi kumfikia kwamba muda wote analindwa

The Information ็š„ๅคดๅƒ
The Information1 ๅนดๅ‰

Why Salesforceโ€™s big AI bet is off to a slow start.

WLMNM ็š„ๅคดๅƒ
WLMNM1 ๅนดๅ‰

Watanzania ni wapole sana sana,hata ngoma haipigwi hivo.

Elijah14 ็š„ๅคดๅƒ
Elijah141 ๅนดๅ‰

Inaumiza Sana hii,nafikiri ni wakati sahihi kwa kila mzalendo anayeipenda nchi hii kutowapa ushirikiano wowote watu wa namna hii mpaka watambue thamani ya watu wengine

olewangaolesyita@gmail.com ็š„ๅคดๅƒ
[email protected]1 ๅนดๅ‰

Watoto wake watakuja kufanyiwa hivi hivi, Kuna watu wengi walifanya unyama kwa wenzio na leo hawapo familia zao pia zinapitia wakati mgumu kuliko wazazi wao walivyowapitisha Watoto wa wengine,muda utasema

ULIZA DEUSOKA ็š„ๅคดๅƒ
ULIZA DEUSOKA1 ๅนดๅ‰

@ccm_tanzania wameuza nchi yetu ya Tanganyika kwa warabu wa MAMA. Askari/VIBARAKA wamegeuka kuwa MAGAIDI wa MAMA. tunakoelekea watutupia mabomu ya mkono.

Smart & Lucky ็š„ๅคดๅƒ
Smart & Lucky1 ๅนดๅ‰

Jitu halina ndevu na miwani yake usikute lihanisi, unapigaje mwanadamu hivyo ikiwa una watoto! ๐Ÿšฎ

JAFETI MUSSA ็š„ๅคดๅƒ
JAFETI MUSSA1 ๅนดๅ‰

Very sad but mwisho unakalibia

B Qassim Idarous ็š„ๅคดๅƒ
B Qassim Idarous1 ๅนดๅ‰

Atapandishwa cheo kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kumfurahisha boss wake leo na account itasoma pia leo akapate kipasha koo cha jioni ipo siku mtaijutia hii kazi ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Maregesi Korogo ็š„ๅคดๅƒ
Maregesi Korogo1 ๅนดๅ‰

Unampiga binadamu mwenzako hivyo pasipo kuwa na moyo wa huruma ndani yako , siku ya ibada unaomba huruma ya mungu dhidi yako

fido ็š„ๅคดๅƒ
fido1 ๅนดๅ‰

TII SHERIA BILA SHURUTI.

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘