正在加载视频...
视频加载失败
Wote tumeona. ⏰7️⃣2️⃣⚖️ #NguvuMoja
27,483 次观看 • 5 个月前 •via X (Twitter)
31 条评论

Acheni upumbavu nyie, refa gani anaweza kutoa penalty ya hivo? Labda kama ni mwendawazimu

Okay okay 👍

Kikwete acha kutesa Watanganyika.

Tumeona sio penalty

Hamna penalty hapo acheni janja janja tafuteni striker

Simba msipoacha kujiona mna haki yakila mchezo na vimdomo domo vyenu hamtakaa mfike mbali... kipindi ile mnachukua ligi mara 4 hamkua watu wamidomo bali mlikua serious kweli,,tokea waje makum ka msemaj wenu na wengne team imegeuka liA lia na taarab

Timu kubwa lakini milio haiishi,chezeni mpira acha kupiga milio kutaka huruma ya refa kila saa, funga mbili akikataa funga tatu shenzi kabisa 😅

tumeona nin🤣

Guede alishikwa miguu na Tanja na sote tuliona

Chezeni mpira acheni lawama za kingese

Too soft.. hakuna penalty apa.. enter cry room then cry..

Bega lishaguswa tulia maninaa🤐

Vile kispika akishuhudia show za kibabe za refa wa kimataifa, mwamba sana, Arajiga

Kabisa offside za Mchongo pia za Azam wote tumeziona ikiwemo ya Nado.

Mmesahau na hiii Saadun alishika mpira uliopigwa na Toure

Ndio maana mlitaka point za mezani nashauri nendeni cas yanga anyang'anywe point mnaacha kuwekeza uwanjani mnawekeza kwenye malalamiko ungeweka na ile ya singida kuwa kila mtu aliona

Unatakiwa kupiga magoal ya kutosha yakikataliwa mawil la 3 linasoma.

,wakat mwenzenu ananyimwa penalty mlisema akuna penalty nyepesi punguzeni milio usiku huu watu tumepumzika

Next time ajikaze aache umama, hakuna penat ya vile.

Acheni usenge mnachezea nafasi alafu mnalilia penati

Wamuz wa kibongo wote jau tu

Mmeanza kulalamika hovyo kama diamond

Wekeni na nafasi za wazi mlizokosa.

Tusonge mbele tu hakuna namna imeshakuwa

Kamati ya roho mbaya kama nyeti ...si dhani kama kamati it!liona hilo kwenye marudio ya huu mchezo wa jana😏

Mmeanza kulia kwenye kiingilio now mnamalzia yan kiufupi hii ni Finishing

Mlitakaje nyie makolo

Mmeona nn wakati mmesamehewa kupewa red card

Msitushirikishe huo ujinga wenu alafu hakuna penalty mliostahili kupata wapeni chakula wachezaji wenu washibe ili wawe na nguvu.

Kataeni kabisa arajiga kuchezesha mechi zenu. Hawapendi kabisa

Simba ni team yangu lakini tupunguze malalamiko hayo yamepita tufocus na mengi tucwe kama 🐸
相关视频
Sensitive content
Huu ndio msimamo wa Klabu ya Simba uliobarikiwa na viongozi wote. #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba Sports Club
159,167 次观看 • 1 年前

