Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

“Yataisha tu”-; Mhe. Lissu

24,496 просмотров • 2 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 5

Фото профиля Lincoln Sibeko
Lincoln Sibeko2 месяцев назад

TAL aingie tu madarakani shida nyingine zipungue, yaani leo tumezuiwa muda mrefu posta kusubiri ujio wa bwana jela mahakamani na amekuja mida mibaya. Case yenye public interest si inatakiwa kuchangamkiwa chap, kwann inachelewa sana

Фото профиля Yusuph Abel
Yusuph Abel2 месяцев назад

Inauma,inatia hasira sana,wauwaji,watekaji,wanaotuibia mali za Umma wameshika Madaraka,wapo mtaani halafu mtu mwema, hajawahi kuvunja nyumba kumuibia mtu,hajatembea na mke wa mtu kosa lake kuwa na akili nzuri na kupigania haki yupo Gerezani kwa kesi ya uwongo 😭😭😭😭😭😭

Фото профиля MAELEZO FC
MAELEZO FC2 месяцев назад

Hapoy to see Chairman again

Фото профиля Epafra Evarist
Epafra Evarist2 месяцев назад

Mbona huleti update Hilda?

Фото профиля Saint 🧚
Saint 🧚2 месяцев назад

Kombe la Dunia limeisha, sijasikia & kuwaona watu wamevaa Tshirts zenye Jina au Picha ya Trump. Samia' wee ni mkundu...

Похожие видео