6 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@TherealBihemo
Unaenda kuhubiriwa na mtu alishawahi kuvuta hadi bangi
3 likes

@SamsonErnest_
Yesu ni mzuri
1 like

@EliabuDanford
Hallelujah

@Jackson98251232
Niliwahi kidogo kuonja Neema ya wakovu kwenye maisha yangu ila nili anguka na mpaka sasa nipo kwenye anguko so uwaga natokwa na machozi tuu na nisijue nini cha kufanya pindi nikutanapo na habari za wokovu kwenye social media zangu naumia naumiaga sanaa😢😢😢
1 like

@Kipara_Mauzi
Hallelujah
1 like

@Unalitenihapo
ila Dini😂😂😂