7 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Habari Zinazotreand Now Marekani, Ni Clip ya Mtoto wa Elon Musk, Alipomfuata na Kumwambia Donald Trump kuwa yeye sio Rais wa marekani na Aondoke hapo Sikiliza mwenyewe alivyosema.. Video kwa Comments 👇
999 likes

@Rydx_017
Pia alimwambia, you need to shush your f....n mouth "Watu wanasema kuwa inaonekana kama aliambiwa na mtu kwa kuwa aliomwambia Trump kama mara mbili hivi"
67 likes

@Rydx_017
Hapa tena akawa anaongea baba yake alivyokuwa anaongea Hii itakuwa mwisho wa huyu mtoto kuonekana kwenye mikutano 😅
67 likes

@Rydx_017
Meanwhile, zile shows za Usiku zinazoenda na Treanding 😂😂😂
53 likes

@RPSizzle
🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:
66,422 likes

@MuyaSakala
Kametumwa na mabebelu 😂
1 like

@Yassir00011
Wanasema maneno hayo hawezi kusema mtoto mpaka amsikie mtu wanasema Ni maneno anayasikia kila siku aliwamaliza kwa kusema atamshoot Ni maneno ya baba yake akiwepo nyumbani