Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Yours truly, BONGO ZOZO!
32,195 просмотров • 9 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 12

Kaishi tz kaona kilichopo na kama binaadamu ameshindwa kuvumilia🙏

Wa Africa ni wabaguzi kuliko wazungu

In fact bongozozo ako sahihi though wanajiita wazalendo feki hawapendezwi hv

Marufuku kutja Man Utd matako yetu 😂😂😂

Watanzania wengi huwa hawajielewi,ndio maana ni rahisi sana kumshambulia bongo zozo kwa maneno,ni hii ni wazi kwamba mmesha ambukizwa kuupinga ukweli badala ya kuusapoti ukweli hata kama anayeusema huo ukweli hafanani au hausiani na wewe.

Huyu broo namkubali sanaa

Wape ELIMU hawa vinyangalika visivyojielewa

Bongozozo anapinga watu kufanya vurugu na kuliita maandamano. He doesn't support upuuzi wenu

Manchester United, Liverpool ziko Tanzania????

Usenge wenu wa Maandamano malizeni hukohuko kwenye balozi mlizopo. Huku Tz hatutaki unazi

Mimi kama mkenya, si kutusi lakini watanzania wengi not smart sio kielimu tu, reasoning hasa

Uraiya ulitengenezwa na mzungu! Vitambulisho zote
