Loading video...
Video Failed to Load
Yupo Simple tu alafu amependeza
125,420 views • 1 year ago •via X (Twitter)
12 Comments

MIKE DAY1 year ago
Ukioa huyu mkagombana humo ndani uwe uko kamili Hii mama ikikutwika ndoo usawa wa mdomo sio meno fizi wala Taya itapona malamamiyaki🙌🙌😂😂 Ona fuvu ilo kudadek kama vicent kompany

KaBieT🙁1 year ago
Hawa waivi heka heka zao unaweza omba hata Mungu angekupa mwenye nywele Uyo role model wake unakuta ni amber Rosa Kaka hutokaa upumzike ni mputa mputa tu

SAMKICHEKO1 year ago
Ushawah kukutana nao anko

Solar Heavy1 year ago
this one is truly a vibe

FUTURE ME1 year ago
tunaweza sema tupo simple kumbe yupo kwenye dozi ya chemo

muungwana1 year ago
Nimakosa mwanamke kunyoa upara, afighanistan unaenda jela miezi 3

♥️♦️♣️♠️1 year ago
kichwa kama cha DEL PIERO🤣🤣

Yasin hamis1 year ago
Ukimpenda tu anaanza na kufuga nywele ili asuke 😁

CENTROZONE_MAN1 year ago
Wanakuaga watamu sana hawa

SAMKICHEKO1 year ago
Mnooo

Malafyale👑1 year ago
Kuna maWIGI kaka

SAMKICHEKO1 year ago
Daah kumbe
